Pre GE2025 Lissu ataka mabalozi wa nchi mbalimbali wawepo kama waangalizi wa Uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ili "kuongeza macho"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.

Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Haya ndiyo maneno yake:

"Sambamba na viongozi wa kidini, kamati kuu vile vile iwaalike wawakilishi wa kibalozi wa nchi rafiki ili nao washiriki kama watazamaji wa uchaguzi wetu. Hiyo pia itaongeza uzito wa uchaguzi wetu ikiwemo kuongeza macho dhidi ya wale wote wanaopanga uchaguzi huo"

===========================================

Lissu ameona nini mpaka atake mabalozi wa nchi za nje wakawe watazamaji wa uchaguzi wa ndani?

Ndiyo kusema kuwa hata CHADEMA kuna wezi wa kura?

View attachment 3189947
Vijibwa vya Sultan Mbowe vinabweka kweli kweli
 
Huu uchaguzi wa mwaka huu ndani ya CHADEMA ni kiboko..

CHADEMA mliitaka serikali na Rais Samia Suluhu Hassan aruhusu Scotland Yard au MOSSAD au CIA waje wachunguze utekaji na mauaji yanayoendelea nchini kwa kuwa Police Tanzania na TISS wanadhaniwa kuhusika na hivyo hawataweza kujichunguza wenyewe. Hii ni kweli na kila mtu alikubaliana na nyie...

Sasa leo mambo si mambo ndani ya chama chenu wenyewe. Mnapaswa kutekeleza hili. Mnapaswa kuruhusu mabalozi na viongozi wa dini waje wawafanyie monitoring ya uchaguzi wenu. Hili ni jema bila shaka, au siyo...?

Kikwazo ni kimoja tu:

Freeman Mbowe na genge lake wanaofanya kila njia kumshindisha kwa kura feki, mbinu za kimafia za ki - CCM watakuwa tayari kukubali? Watatoka wazi na kuunga mkono pendekezo hili..?

Hiki ndicho kipimo cha ukweli na uthabiti wa mioyo yao...!!
Nyumbu wa Sultan Mbowe wameshaanza kupiga mayowe kwani wanaona mbinu zao za kuleta magumashi zimeshavuja.
 
Mama simamia huo uchaguzi uwe wa huru na haki, mwisho wa kaskazini umefika, wawaachie wanakanda wengine hope watakiendeleza vizuri sana, na head quarter ya chama iwe singida, pwani au kanda ya ziwa

Kama upo na lissu like hapa japo sina chama
 
Wakuu,

Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.

Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Haya ndiyo maneno yake:

"Sambamba na viongozi wa kidini, kamati kuu vile vile iwaalike wawakilishi wa kibalozi wa nchi rafiki ili nao washiriki kama watazamaji wa uchaguzi wetu. Hiyo pia itaongeza uzito wa uchaguzi wetu ikiwemo kuongeza macho dhidi ya wale wote wanaopanga uchaguzi huo"

===========================================

Lissu ameona nini mpaka atake mabalozi wa nchi za nje wakawe watazamaji wa uchaguzi wa ndani?

Ndiyo kusema kuwa hata CHADEMA kuna wezi wa kura?

View attachment 3189947
Lakini huyu Tundu Lissu ni MWEHU.Nyie mnaweza kudhani ni yeye anaongea kumbe Dish limeshayumba kitambo.Tena dish lenyewe la Zuku.
 
Yaani mwambieni mapema kabisa amlete Maria awe wakala wake - akipata kura 7 kidume.
 
Wakuu,

Kumbe suala la wizi wa kura haliko ndani ya CCM tu, hadi huko CHADEMA mambo yanaonekana kuwa moto.

Lissu akiwa anazungumza leo amesema kuwa ameishauri kamati kwamba wawepo mabalozi au wawakilishi wao ambao watakuwa kama wangalizi wa Uchaguzi wao wa ndani ya chama.

Haya ndiyo maneno yake:

"Sambamba na viongozi wa kidini, kamati kuu vile vile iwaalike wawakilishi wa kibalozi wa nchi rafiki ili nao washiriki kama watazamaji wa uchaguzi wetu. Hiyo pia itaongeza uzito wa uchaguzi wetu ikiwemo kuongeza macho dhidi ya wale wote wanaopanga uchaguzi huo"

===========================================

Lissu ameona nini mpaka atake mabalozi wa nchi za nje wakawe watazamaji wa uchaguzi wa ndani?

Ndiyo kusema kuwa hata CHADEMA kuna wezi wa kura?

View attachment 3189947
Lissu atashindwa kwa 78%.
 
Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB

Kama katiba inaruhusu, hata vyama kama CCM waingie tu. Lakini so vinginevyo maana kila chama kina utaratinu wake. Kwa upande wa viongozi wa dini. Nawakubali.
 
Back
Top Bottom