Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
inaweza kua ni athari ya changamoto za kiafya na kisaikolojia alizopitia, binadamu tumeumbwa kusahau 🐒
 
Wanaomjaza gas saizi hawakutoa hata mia 😆😆😆😆

Na vile hana hekima Niko palee nasubiria
 
Tusi ni kitu gani
Tujadili kwanza hapo

Alafu watu aina yako ndiyo wenye shida ya akili sasa
Mliambiwa hivi achieni ofisi za serikali mkae makwenu na familia zenu muone kama kuna mtu atakuwa na habari na nyie

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ww Lissu unamuona ni mtu mwenye akili timamu
 
Sijakusoma, lakini 'premise' ya mada yako ni ya kijinga.

Walimfanyia 'favor' kumnyamazisha?
Ni nani bora zaidi kati ya hao:
Maslahi ya Tanzania au hao watu wanaotoa rushwa kuwanyamazisha wengine wasiseme na kusimamia wanayoyaamini!
 
Sisi tumeona ni matusi
 
Endeleeni kumjaza gas,Msaada mtakaompa ni kusema pole kama 😂😂
 
Kizaniii
 
Weka hapa matusi ambayo unasema Tundu lissu kumtukana MBOWE.
 
Sijakusoma, lakini 'premise' ya mada yako ni ya kijinga.

Walimfanyia 'favor' kumnyamazisha?
Ni nani bora zaidi kati ya hao:
Maslahi ya Tanzania au hao watu wanaotoa rushwa kuwanyamazisha wengine wasiseme na kusimamia wanayoyaamini!
Endeleeni kumjaza gas na vile hana hekima atajaa.

Mwisho wa siku Cha maana mtakachomsaidia ni kusema pole
 
Hoja yako haina mashiko. Ina logical non sequitur fallacy.

Unataka Lissu aache kuwabana Mbowe na Samia kwenye mambo ya kitaifa kwa sababu walimsaidia na kumjali yeye katika mambo yake binafsi?
 
Hoja yako haina mashiko. Ina logical non sequitur fallacy.

Unataka Lissu aache kuwabana Mbowe na Samia kwenye mambo ya kitaifa kwa sababu walimsaidia na kumjali yeye katika mambo yake binafsi?
Mwambieni aendelee basi
 
Kwani walifanya hayo kama hongo,ili hata kama watakosea asiwaseme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…