Pre GE2025 Lissu atakuwa mtu wa aina gani? Mbowe alimpambania akiwa hoi, Samia akaenda kumuona Nairobi, leo kawaandalia hotuba za kuwatukana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Changia mada, usijitungie swali halafu ulete majibu
Huna hoja wewe ulichoandika hapo hujakifanyia utafiti muda mwingine kunyamaza hukusaidia kuficha ujinga ulionao
 
Everything is going well as planned !
Lissu na Mbowe ni damu damu !!
Time will tell !! 🙏🙏
 
Shukrani ya panda ni mateke

Shukrani ya panda ni m

Shukrani ya punda ni mateke.
amini nakwambia panda kwa ufupi na unene kamwe hawez kurusha mateke unless umeathiliwa sana na filamu ya Kung Fu panda. Nawasilisha
 
Mzee Turki naye hakutoa pesa zake za mfukoni alichofanya ni kutoa udhamini kwa kampuni ya ndege imuwaishe lissu then pesa zilipwe baadae.
 
Kwahiyo hii ndio namna pekee ya kumtuliza Lissu? Hoja zake moto zimewashinda kuanzia viongozi wenzie huko CDM mmebaki kukumbushana fadhila?

Kuna nyakati za fadhila na ukweli, huu ni wakati wa ukweli. Wakati wa fadhila mtakumbukwa ikifika tarehe aliyofanyiwa shambulio.
 



MTU akisema ukweli wanasema anawatukana inafikirisha Sana.
 
Mbowe ni Afisa tu kama Zitto huna ujualo

Nimemaliza 🐼
Hapana, mimi namtetea Mbowe. Ni tofauti kidogo na Zitto.

Mbowe anayo imani (ideology) inayomsukuma zaidi kuliko utumishi kwa chama au taasisi nyingine.
Mbowe kampata pacha wake katika imani yake ndani ya Samia. Mbowe na Samia 'ideology' yao ni moja.

Kwa hiyo, Mbowe anasubiri tu muda ufike ili aungane na Samia kuelekea 2025.
Chadema ya Mbowe na CCM ya Samia wataunda serikali ya umoja endapo kama watafanikiwa mipango yao.
 
Ukitaka ugombane na mbowe we mwambie tu habari za aachie nafasi ya mwenyekiti wa chama
 
L
Nimekupa za ndaani kabisa, hata tiketi ya mke wa Lissu na watoto kwenda ubeleji ni kazi ya Mbowe
LIssu mwenyewe aliongea kwamba mzee turki ndio alisimamia na kutoa gharama ya ndege na matibabu na hakupenda mtu yoyote ajue, baada ya turk kufariki lissu ndio alitoa siri hii sasa huyo mbowe katokea wapi?
 
Nimelia sana, Lissu hana utu wala uungwana
Nakushauri uendelee kulia, kwa sababu huu ni mwanzo tu. Uovu wenu wote, na ulaghai mwingi mnaoutumia kwa kutumia lugha laini huku mkifanya uovu utafunuliwa wote kwa wananchi.
 
Matusi kwa sasa ni kitu cha kawaida Nchini kwenye siasa !

Wengine hutukana mpaka wazee !
Wanajifanya eti hawajui !

Kabla hujamnyooshea mwenzio kidole toa kwanza boriti kwenye jicho lako !!

Law of the Universe !
 
L

LIssu mwenyewe aliongea kwamba mzee turki ndio alisimamia na kutoa gharama ya ndege na matibabu na hakupenda mtu yoyote ajue, baada ya turk kufariki lissu ndio alitoa siri hii sasa huyo mbowe katokea wapi?
Na huo ndio ukweli wenyewe ! Turki ndiye aliyekodisha ndege mpaka Nairobi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…