Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Watanzania mwaka huu tushindwe sisi tu. Baada ya miaka mingi ya ulaghai huku tukipewa elimu duni na huduma mbovu na Chama cha Mapinduzi, mwaka huu Mungu ametuletea huyu mja wake. Alimponya risasi 16 makusudi kwa sababu alijua huyu ndo atakayemtumia kutukomboa kweli na kutuwekea mfumo sahihi wa maisha kwa maendeleo yetu ya kweli.

Ewe mtanzania mwenzangu, muhamasishe jirani yako, muhamasishe ndugu yako,rafiki na jamaa zako, tarehe 28/10/2020 wote tukapige kura kwa wingi na tumchague Shujaa wa Mungu Tundu Antiphas Lissu.

Tuko hatua chache sana watanzania kuipata nchi ya ahadi. Tukapige kura kwa wingi kumchagua Tundu Lissu na tuhamasishane pia kuzilinda kura zetu. Wakati ni sasa!
 
✌🏾✌🏾✌🏾
 
Hii ya “kitambulisho cha Machinga sio muhimu” inapotoshwa either kwa makusudi au kutoelewa kilichosemwa

According to Magufuli, Kitambulisho ni muhimu kwa wale wasiopenda kusumbuliwa na Mgambo. Kama wewe unapenda vurugu la mgambo, then kitambulisho sio muhimu

Attached ni copy kutoka gazeti la NIPASHE la leo

 
Lissu ameshamjibu Magufuli kama anajua vitambulisho si muhimu basi aifute sheria inayomlazimu mchuuzi kulipia kitambulisho 20,000. Kama anawapenda wachuuzi awape vitambulisho bure.
 
Best nimeshatoa mchango wangu pia niko mbioni kuwahamasisha ndugu, jamaa na marafiki wafanye hivyo. Tena umenikumbusha kuna mtu niliongea naye na akaahidi kutoa mchango na nikamuomba ahamasishe watu walio katibu naye. Ngoja nimfuatilie ili kujua amefikia wapi.

 
Best hii ni September andaa na wa October kabisa.
 
utaunga mkono Savimbi?
 
Mimi naamini wapenda haki wanaonekana kwa vitendo,na maneno.vitendo na maneno yao vinafanana na sii ya kigeu geu.
 
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
Watanzania au wewe
 
Sisi tunaendelea kizipiga hizo pesa mnazochanga juzi tumechukuwa 50m! Kazania kukusanya huko UK mwambie na babu kizee wako achange za kutosha!!
 
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe

Ccm bana, mnajitungia maswali na ya kuyajibu wenyewe kisha mnajiita mna akili. Hakuna mtanzania zoba, labda awe mwanaccm. Hivyo jitahidi kutenganisha watanzania na wanaccm.
 
Hiyo speech aliyopiga Bukoba mjini kuna uwezekano mkubwa mtu akafa kihoro dodoma
 
Asante umenikumbusha kesho tena naongeza mchango wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…