Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Kumpigia kura Lisu ni sawa na kumkabidhi Fisi Bucha,

Yatakuja mafisi yanayomendea rasilimali zetu kuzitafuna mpaka isibaki hata mfupa.

Lisu mwenyewe kasema ataweka mali zetu rehani ili apate fedha za maendeleo. (Hili katumwa na mabeberu aje kulifanya ).

Atatugawa kwa majimbo ili iwe rahisi kutawalika na hayo mafisi yaliyomtuma.

Lisu sio wa kumuonea huruma ni wa kumkata, ataliingiza hili Taifa kwenye majuto makuu.
 
Duh, Yesu ni mtu? Umekufuru kamanda uchwara umewauzi wakristo. Na chama chetu umekichafua.

Sio kila mtu anaamini kwenye ukristo, sisi tunajua ni mtu maana alizaliwa na kufa. Kama kuna namna nyingine mmeambiwa huko kuhusu yeye, hilo sio juu yetu.
 
Sio kila mtu anaamini kwenye ukristo, sisi tunajua ni mtu maana alizaliwa na kufa. Kama kuna namna nyingine mmeambiwa huko kuhusu yeye, hilo sio juu yetu.
Tumia akili unapopost,jukwaa hili lina watu wenye imani za dini mbali mbali. Ungekuwa karibu ningekulapua makofi. Unakiharibia chama chetu sifa na kupoteza kura.
 
Ukweli ni kwamba CCM mmeugua mpaka basi, mwenyekiti wenu kalegeaaaaa mpaka anavuja maji kila palipo na tundu hii ni kumaanisha mpaka tigo inadondosha maji hatareeee!!
Mlihakiki majina yenu ili muwe na haki ya kupiga kura?? au mlijiandikisha ?? Lissu mnampenda lakini hamtaweza kumsaidia 28/10, kwa hiyo atakufa kivyake, poleni. Wapiga kura wenye kujitambua hawawezi kumpa kura dalali wa mali za nchi
 
Tumia akili unapopost,jukwaa hili lina watu wenye imani za dini mbali mbali. Ungekuwa karibu ningekulapua makofi. Unakiharibia chama chetu sifa na kupoteza kura.

Narudia tena, sio kila mtu ana imani ya kikristo, mtu akizaliwa na akafa huyo ni binadamu. Kama umeambiwa tofauti na hivyo sina tatizo na hilo. Kama chama chako kinapata kura kwa kuamini binadamu ni tofauti na nijuavyo kanuni za ubinadamu, acha kikose. Sijawahi kupigwa kibao na shoga wa aina yako. Labda kile kibao chenu mapunga mnachotupiga sisi mabasha.
 
Ahaaa, hasira hazisaidii, mimi nakuchana live tu umewakosea wakristo,hufai hata kidogo. Unatakiwa uvalishwe pampasi.
 
Ahaaa, hasira hazisaidii, mimi nakuchana live tu umewakosea wakristo,hufai hata kidogo. Unatakiwa uvalishwe pampasi.

Naona unalazimisha mabasha kinguvu hapa jukwaani. Sio kila mtu anatumia hiyo huduma boss. Ni kipi umenichana live ww punga mjane?
 
Hiyo ni formula ya kiulimwengu, hata waisilamu na wakristo wanaamini mtu ambao ni Mohamed SAW NA Yesu kristo. Leo hii Yesu na Mtume wafufuke na kuanzisha dini nyingine, uone kama uisilamu na ukristo atabaki mtu. Slaa alikuwa na uwezo wa kuondoka na watu iwapo angehamia chama kingine cha upinzani, lakini alipokubali kufunga ndoa na ccm, ndio maana leo akiongea na watu waliokuwa wakimuamini akiwa cdm anaonekana kichekesho, hata hoja zake ziwe na mashiko vipi, bado anaonekana kichekesho tu.
Ahahahahahahahah! Kwa hoja hiyo umechemka braza. Ila jitahidi kuitetea! Ahahahahahahh!
 
Kumpigia kura Lisu ni sawa na kumkabidhi Fisi Bucha,

Yatakuja mafisi yanayomendea rasilimali zetu kuzitafuna mpaka isibaki hata mfupa.

Lisu mwenyewe kasema ataweka mali zetu rehani ili apate fedha za maendeleo. (Hili katumwa na mabeberu aje kulifanya ).

Atatugawa kwa majimbo ili iwe rahisi kutawalika na hayo mafisi yaliyomtuma.

Lisu sio wa kumuonea huruma ni wa kumkata, ataliingiza hili Taifa kwenye majuto makuu.
Kwani Stroke , sasa ni rasilimali zetu ?! Au unajisahaulisha 99 yrs na mkataba huwezi kuvunja !!. Ahahahaaaa [emoji3][emoji23][emoji1787]. Mkapa aliwatenda.
 
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
Kura za huruma..huruma unamuonea wewe au wananchi wamekutumia uwasemee?

Kura za huruma ni dhambi?

Kama kura za huruma unaona ni dhambi,basi kura za hasira ni nini?

Hii hoja ya kura za huruma,ni kukoswa cha kujibu..

Yeye Magufuli anatafuta kura za kitu gani?Za mabavu au?

Mwenyekiti round ya kwanza alikuwepo fully,round hii na yeye anatafuta kura Hai pia....

Nothing is guaranteed,even kwa Magufuli,he is not guaranteed of anything,kura ni zetu atashangaa zisipotosha vile vile!
 
Lissu atarudisha haki iliyoporwa na utawala huu.
 
Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Wafanyabisshara kodi itatokana na mapato yako, hakuna kodi za kukomoana. Mwezesheni Lissu kufanikisha haya.

Tuache cheap politics na kugeuzana wajinga kama ana hoja mbadala aje na hoja zilizosimama! Bila kodi atapata wapi nyongeza ya mishahara, ajira, fidia nk. Ajiara 13,000 zinauhusiano gani na Lisu, tafadhali onyesha. Unakoelekea utasema na mshahara wa mwezi wa tisa tumshukuru Lisu, madeni na malimbikizo mbona tumelipwa wakati yuko busy anatuchongea kwa wafadhili?! Tuweni waungwana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu , siyo ushabiki tu!
 
Back
Top Bottom