Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Ahsante dada
 
Nikushukuru kwa hii clip👍
Your browser is not able to display this video.

Nyingine hii hapa!! Watz wanamcheki tu na tarehe 28/10/2020 wanamchinjia mbali muongo mkubwa huyu!
 
Hiyo Pumbavuuuu baki nayo mwenyewe

Wamejiandikisha 29million, wanachama hai wa CCM ni 17million na wapinzani waliounga mkono juhudi za rais ni 7million.
Usipanick!
Number haziongopi na hazina blah blah
Pumbavu unastahili kuichukua na wala usiirudishe, it belongs to you Mataga

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tunadunduliza hadi aingie Ikulu mwenye buku hadi Msimbazi
Watanzania mnaodai ni maskini bado mnataka wamchangie Lissu mnayesema hana njaa! Ahahahahahahah! By the way, nasikia Mwenyekiti Mbowe AMESUSA kampeni za Lissu na kuna uwezekano mkubwa baada ya uchaguzi Lissu akafukuzwa Chadema.
 
Watanzania mnaodai ni maskini bado mnataka wamchangie Lissu mnayesema hana njaa! Ahahahahahahah! By the way, nasikia Mwenyekiti Mbowe AMESUSA kampeni za Lissu na kuna uwezekano mkubwa baada ya uchaguzi Lissu akafukuzwa Chadema.

Masikini huwa wanachangiana wenyewe kwa wenyewe. Naona mataga mmejitengezea propaganda ya mwenyekiti kususia kampeni, kisha mnaiamini wenyewe! Huko kwenye kampeni hakuna mwenye shida na Mbowe maana hagombei urais, bali wanataka kumsikia na kumuona mgombea urais. Mbona kwenye kampeni za ccm hatumuoni Mang'ula, au naye kasusia na badala ya uchaguzi atamfukuza Magufuli chama? Kwa taarifa yako Lisu ni zaidi ya chama, ni kama Maalim Seif, kawaulize CUF baada ya kuondoka Seif.
 
Of course kwenye hilo la Chadema kuamini mtu badala nakuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…