Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu



Tundu Lissu endelea kupiga spana baba. Gongelea na misumari!😂

Oktoba 28. 2020 Wananchi Tunajambo Letu!

#niyeye2020
 
Tupooo[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]tushamuunga mikono na miguu nini kumpa kura mapema tu
 
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
Hili nalo nyumbani utakuta lina familia ptuu
 
Acha uzushi na upotoshaji ndugu, Hivi ni lini Mowe alitamka kumsusa Lissu? Ifahamike kuwa kwanza Mbowe alivunjwa mguu mwezi July ambapo kitaalam anatakiwa kupumzika ili mfupa uunge kwa kipindi cha miezi 6, hivyo anahitaji muda wa kupumzikana apuumzike tu maana Lissu pekeake anatosha kukandamiza hoja na ilani ya chama bila uwepo wa Mbowe! Pia lazima ifahamike kuwa Mbowe ni mgombea ubunge jikmbo la Hai, kwa mwaka huu CCM imewekeza nguvu kubwa kuhakikisha wanamg'oa Mbowe ili kudhoofisha upinzani bungeni, hivyo Mbowe sio mjinga hachezi mbali na jimbo, anapambana kamanda wetu!
 
Zawadi yangu kwa Lissu ni kumpigia kura. Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…