Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Mshamba kama mashwambwa kweli umeona jambo.la maana kabisa.
 
Watanzania gan unaowazungumzia chief ? anzia jf kupata maoni kuhuxu chama chako then nenda kwa mwananchi ambae haijui hata jf kusanya maoni kuhuxu chama chako sema mnaandka hizi ngonjera mkiwa wapi au ndo vile ukwel mnaujua ila hakuna namna.
 
Lucas mbona unaanza kububujika machozi ya hofu mapema, wakae meza moja kutafuta nini? huko CCM hata maji hamuachini mezani unataka Lissu akae meza moja na nyie kujadili nini sasa kila mtu apambanie kombe lake, yaani kila mtu ashinde mechi zake
Sina hofu bali nawapeni ukweli mchungu sana.
 
Lissu mbishi, Lissu mgumu, Lissu msumbufu, Lissu genius. Hizi ni sifa muhimu sana kwa kiongozi wa upinzani hasa kwa Tanzania ya sasa.

Nyumbu kama wewe ukienda na mtu kama Lissu kwa mihemko atakutoa knockout
Muda ni mwalimu. Ndio maana askofu Bagonza amesema lissu amezungukwa na vibaka.
 
Watanzania gan unaowazungumzia chief ? anzia jf kupata maoni kuhuxu chama chako then nenda kwa mwananchi ambae haijui hata jf kusanya maoni kuhuxu chama chako sema mnaandka hizi ngonjera mkiwa wapi au ndo vile ukwel mnaujua ila hakuna namna.
CCM inakubalika na kupendwa sana na watanzania.
 
Ana
Anatosha Kwako ww unayepokea posho zako na bandle la kuandika la elfu 30 kila mwezi
 
Achana na Lissu na Chadema yake,haya mambo yako juu ya uwezo wako,hiki kiherehere chako ndiyo maana juzi walikubaka kule Dodoma. Tuliza akili yako fanya mambo ya kukusaidia maishani.
 
Ni maridhiano ndio yalifungua mirango ya kuanza kufanyika kwa mikutano ya hadharani kwa vyama vya siasa. Ni hayo hayo maridhiano ndio yaliwarejesha Nchini lissu na lema na mengine mengi sana.
Mikutano ni haki yetu, hakuna haja ya maridhiano, Lissu atafanya mikutano na hakuna kitu mtafanya
 
Achana na Lissu na Chadema yake,haya mambo yako juu ya uwezo wako,hiki kiherehere chako ndiyo maana juzi walikubaka kule Dodoma. Tuliza akili yako fanya mambo ya kukusaidia maishani.
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
 
Kiongozi uchaguzi mkuu si bado sana? Kingine kiongozi kuna nafasi ya mkuu wa wilaya ipo wazi vipi haiwezi kuwa fursa kwa washika jembe na nyundo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…