Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

CCM Ndiyo Wana akili kuliko watanzania wote na tunatakiwa tufikiri wanavyotaka wao, umesahau tunaishi kwenye jamii ya kanyaga twende yaani jamii ya bora liende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Huo ndio ukweli wenyewe
 
Kwani Mbowe kafanikiwa nini baada ya kukaa kwenye meza ya mazungumzo?
Mnajitoaga ufahamu si ndio?

1.Bila Mbowe huyo kibaraka wenu angeendelea kupakatwa na Amsterdam huko

2.Bila Mbowe Rais asingeondoa amri ya marufuku ya mikutano ya Kisiasa na mnakumbuka vizuri Kuna siku aligusia kwamba zile sheria hazijafutwa zipo,vukeni mstari.
 
Acheni kujidanganya zile ni haki za raia, pelekeni utoto uko kujifanya mpaka muombwe , Lissu karudi kwasababu mnataka pesa za wazungu
 
Haki za raia ndio zilimpeleka Ubelgiji Kwa Amsterdam au siyo? Mwambieni avuke mstari uone kama atazipata.

Lazima anywee kama Mwabukusi atake asitake
 
Back
Top Bottom