Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

20241124_103800.jpg

Wa Kwanza Kushoto.
 
Naona kishindo cha Lissu kinaanza kusababisha homa huko kambini Dodoma na Lumumba!
 
Ndiyo last week alijipeleka Dodoma bila mwaliko aliabika kweli hata nauli ya kurudi Mbozi alisaidiwa tulishamwambia CCM ina wenyewe na yeye si mmoja wao na wenye CCM yao hawana makelele mitandaoni wanajipakulia minyama kimya kimya tu.
Acha uzushi dogo 😀😀
 
Back
Top Bottom