Wenye Imani na CCM ni Lile kundi lililokua Dom last week na mifumo ya dola. Otherwise non beneficiaries wa system hawezi sema anamatumaini na CCM.Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na serikali yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye Imani na CCM ni Lile kundi lililokua Dom last week na mifumo ya dola. Otherwise non beneficiaries wa system hawezi sema anamatumaini na CCM.Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na serikali yake.
Kasha ropoka mpaka yule dada wa cloud’s akakataa jina lisitajwe na likatajwa, Lissu haogopi mtu hataki rushwaWewe huna akili,ngoja aropoke mtapata majibu humu humu
Nipo humu kabla ya Mwendazake sijawahi na sitokuja kuwahi.Sitegemei siasa kula Wala sifaidiki na chochote,mijadala ya jf ni burudani tuu lakini Nina mlengi wangu.Sina maneno yangu. Ujumbe wangu kwako, jiandae kulala na viatu. Lissu hanaga shughuli ndogo kama unabisha nenda kabulini chato kamuulize mzee meko.
Haya baada ya kuropoka ikawaje?Kasha ropoka mpaka yule dada wa cloud’s akakataa jina lisitajwe na likatajwa, Lissu haogopi mtu hataki rushwa
Kina Lissu wanazaliwaga mara moja baada ya miaka 300.Nipo humu kabla ya Mwendazake sijawahi na sitokuja kuwahi.Sitegemei siasa kula Wala sifaidiki na chochote,mijadala ya jf ni burudani tuu lakini Nina mlengi wangu.
Angekuwa Rais ningewaza Sasa mpiga kelele hana madhara
Ameshinda uenyekiti baada ya wajumbe kuridhiki kuwa Lissu hakuna anae muogopa labda Mungu peke yake , kwa wakati huu ni mtu sahihi kura zikawa nyingi yule mtu wenu wa maridhiano chaliHaya baada ya kuropoka ikawaje?
Kaka vitu vinaonekana leo umseme lisu kesho Mbowe ,Huwezi ukaelewa hoja zangu kama akili yako ni ndogo.
Kunahitaji nini?..serikali kufanya marekebisho ya Katiba, na kuunda Tume Huru ya uchaguzi, hakuhitaji CCM na Chadema kukaa mezani.
Baada ya kushinda?Ameshinda uenyekiti baada ya wajumbe kuridhiki kuwa Lissu hakuna anae muogopa labda Mungu peke yake , kwa wakati huu ni mtu muafaka, kura zikawa nyingi yule mtu wenu wa maridhiano chali
Kutoka kumwanga risasi mumuuwe mpaka kutaka meza ya mazungumzo. Dah kweli MUNGU umuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumkalisha pamoja na wakuu. Uzuri mtakaa meza ya mazungumzo na kina Lisu na kina Heche hata rushwa amtaizungumza Kama kwa wengineNdugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo.
Nipende tu kuwaambieni ukweli mchungu kuwa iwe leo au kesho au kesho kutwa Lissu hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala maamuzi ya kufanya jambo lolote lile kubwa liwe la kimfumo au kisheria au kisera pasipo kwanza kukaa kwenye meza ya mazungumzo na CCM na serikali yake.
Ili jambo lolote lifanyike ni sharti CCM iridhie na kukubali. Kwa sababu CCM ndio chama kilichojitawala ndani ya Bunge na kwingine kote kwenye ngazi za uwakilishi.
Kwa hiyo unaposema unataka mabadiliko ya aina yoyote ile iwe ni kisheria au kisera .maana yake unapaswa kujenga hoja na kuridhiana na CCM na serikali yake ambayo ndio yenye wabunge wengi ndani ya Bunge letu.
Mbali na hapo ni kuwa lissu ataishia kupiga makelele yake mpaka achoke na Mwisho wa siku hakuna kitakachobadilika hata kwa herufi moja au tarakimu moja.
Akija kibabe basi CCM tutamkabili na kupambana naye katika namna hiyo hiyo atakayo kuja nayo. Akija kiungwana tutampokea kwa namna hiyo hiyo na kukaa naye mezani kumsikiliza. Akija kwa Shari na chuki basi awe tayari kupata majibu ya aina hiyohiyo.
Hii ni kwa kuwa CCM ndio chama kilichopewa ridhaa na watanzania ya kuwaongoza.Muongozo wa CCM ilikuwa ni ilani yetu ambayo ndio tuliyoinadi kwa wananchi. kwa hiyo kilichopo kwenye ilani yetu ndicho tunachokitekeleza. Kama wewe mwingine una jambo lako basi subiri uchaguzi na nenda kwa wananchi uombe kura zikitosha ndio utekelezage hicho unachokitaka wewe.
Lakini kwa sasa kwa kuwa sisi ndio wenye serikali hivyo huna budi kuja mezani na hoja zenye mashiko ili nasi tukupe hoja zetu juu ya kipi kinawezekana kwa wakati huu na kipi hakiwezekani kwa sasa na kingoje muda fulani au wakati. Mkataba wetu na wananchi ni Ilani ambayo ilichaguliwa na wananchi. tuulizwe na kushinikizwa kutekeleza kilicho kwenye ilani yetu .
Ila kile ambacho hakipo kwenye ilani yetu ni sharti kije kwa njia ya kufanya Mazungumzo na maridhiano. na katika mazungumzo na maridhiano ni lazima uelewe hutapata yoote unayoyahitaji. Bali yapo mengine utapata na mengine utapata kiasi na mengine itabidi usubiri wakati wake ufike.
Kwa hiyo lissu akijifanya kuongozwa na Mihemuko pasipo kutumia akili, busara ,hekima , utulivu, subira na uvumilivu. Basi atakosa yoote na hatakuwa na cha kutufanya wala kufanya wala kubadilisha kitu chochote kile ndani ya katiba au sheria zetu. Kwa hiyo ni lazima aje kwa nidhamu ,hekima na utayari wa kukaa mezani.
Lakini asije na majibu yake mfukoni au Misimamo. Majibu yatapatikana katika meza ya mazungumzo na kuwa na msimamo wa pamoja wa namna ya kusonga mbele kwa pamoja kama Taifa .
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe watu wa hivyo hawatakiwi DunianiKina Lissu wanazaliwaga mara moja baada ya miaka 300.
Nadhani utakuwa umeanza kufuatilia siasa za Tanzania juzi juzi. Karibu sana umuone Lissu kama Lissu.
Usiombe poo tu.
Sasa si ndio ameshinda hata wiki bado haraka ya nini? au umechanganyikiwaBaada ya kushinda?
Wanatakiwa sana.Wewe watu wa hivyo hawatakiwi Duniani
Vitajifuta vyenyewe.Kijana wa hovyo, mkiona vyama pinzani ni kero kwenu mboga mboga vifuteni mbaki nyie mtawale milele ,Tena na katiba mnaweza futa kabisa isiwepo matamko yenu yawe sheria
Anakiongoza chama katika upinzani wa kweli siyo pandikiziBaada ya kushinda?
Kwa sababu wanatumia nguvu kubwa kuaminisha watu uongo ili uonekane ukweliHivi kwanini wanaoandika ujinga hutumia maelezo mengi sana kuliko wanaoandika facts na vitu vya maana?
Nmefanya research kwa mda sasa, naomba watanzania wanisaidie kupata majibu.
Kunahitaji nini?
Then what?Anakiongoza chama katika upinzani wa kweli siyo pandikizi
Unabisha au unataka nieleze hata ulivyopata nauli ya kurudi kwenu?Acha uzushi dogo 😀😀