ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Akili wanayo wale wauaji, maana wanataka kuua mtu kisa kukosolewa , ila Mungu yuko na Lissu yupo hai mpaka sasa tena ni Mwenyekiti wa chademaOna Sasa huna akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili wanayo wale wauaji, maana wanataka kuua mtu kisa kukosolewa , ila Mungu yuko na Lissu yupo hai mpaka sasa tena ni Mwenyekiti wa chademaOna Sasa huna akili
Ccm imara wakati tunaona kutwa unaruka na Lissu tu, mwaka huu kazi mnayoCCM ni imara zaidi ya jana na juzi.
Wewe huna akili ,Beberu ashughulike na mtu asiye na maslahi naye? Uko mzima kweli wewe?Akili wanayo wale wauaji, maana wanataka kuua mtu kisa kukosolewa , ila Mungu yuko na Lissu yupo hai mpaka sasa tena ni Mwenyekiti wa chadema
Ujinga tu ndio umemjaa huyo.Wewe huna akili ,Beberu ashughulike na mtu asiye na maslahi naye? Uko mzima kweli wewe?
Huwezi shindana na CCM Kwa nguvu. Njia ni mbili tu kuishitaki CCM Kwa Mungu na Kwa raia. Maombi na mziki zomeazomea ukisikia hatamu Kila kitu utaona kinakaa kwenye nafasi yakeNdugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo.
Nipende tu kuwaambieni ukweli mchungu kuwa iwe leo au kesho au kesho kutwa Lissu hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala maamuzi ya kufanya jambo lolote lile kubwa liwe la kimfumo au kisheria au kisera pasipo kwanza kukaa kwenye meza ya mazungumzo na CCM na serikali yake.
Ili jambo lolote lifanyike ni sharti CCM iridhie na kukubali. Kwa sababu CCM ndio chama kilichojitawala ndani ya Bunge na kwingine kote kwenye ngazi za uwakilishi.
Kwa hiyo unaposema unataka mabadiliko ya aina yoyote ile iwe ni kisheria au kisera .maana yake unapaswa kujenga hoja na kuridhiana na CCM na serikali yake ambayo ndio yenye wabunge wengi ndani ya Bunge letu.
Mbali na hapo ni kuwa lissu ataishia kupiga makelele yake mpaka achoke na Mwisho wa siku hakuna kitakachobadilika hata kwa herufi moja au tarakimu moja.
Akija kibabe basi CCM tutamkabili na kupambana naye katika namna hiyo hiyo atakayo kuja nayo. Akija kiungwana tutampokea kwa namna hiyo hiyo na kukaa naye mezani kumsikiliza. Akija kwa Shari na chuki basi awe tayari kupata majibu ya aina hiyohiyo.
Hii ni kwa kuwa CCM ndio chama kilichopewa ridhaa na watanzania ya kuwaongoza.Muongozo wa CCM ilikuwa ni ilani yetu ambayo ndio tuliyoinadi kwa wananchi. kwa hiyo kilichopo kwenye ilani yetu ndicho tunachokitekeleza. Kama wewe mwingine una jambo lako basi subiri uchaguzi na nenda kwa wananchi uombe kura zikitosha ndio utekelezage hicho unachokitaka wewe.
Lakini kwa sasa kwa kuwa sisi ndio wenye serikali hivyo huna budi kuja mezani na hoja zenye mashiko ili nasi tukupe hoja zetu juu ya kipi kinawezekana kwa wakati huu na kipi hakiwezekani kwa sasa na kingoje muda fulani au wakati. Mkataba wetu na wananchi ni Ilani ambayo ilichaguliwa na wananchi. tuulizwe na kushinikizwa kutekeleza kilicho kwenye ilani yetu .
Ila kile ambacho hakipo kwenye ilani yetu ni sharti kije kwa njia ya kufanya Mazungumzo na maridhiano. na katika mazungumzo na maridhiano ni lazima uelewe hutapata yoote unayoyahitaji. Bali yapo mengine utapata na mengine utapata kiasi na mengine itabidi usubiri wakati wake ufike.
Kwa hiyo lissu akijifanya kuongozwa na Mihemuko pasipo kutumia akili, busara ,hekima , utulivu, subira na uvumilivu. Basi atakosa yoote na hatakuwa na cha kutufanya wala kufanya wala kubadilisha kitu chochote kile ndani ya katiba au sheria zetu. Kwa hiyo ni lazima aje kwa nidhamu ,hekima na utayari wa kukaa mezani.
Lakini asije na majibu yake mfukoni au Misimamo. Majibu yatapatikana katika meza ya mazungumzo na kuwa na msimamo wa pamoja wa namna ya kusonga mbele kwa pamoja kama Taifa .
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaCcm imara wakati tunaona kutwa unaruka na Lissu tu, mwaka huu kazi mnayo
Kama unadhani Lissu ni mtu wa kuendekeza njaa utasubiri sana. Tulieni na jiandaeni tu kulala na viatu.Anakula maisha,makelele yote ilikuwa njaa
Sasa mguseni tena Lissu safari za ulaya mtazisikia tu na ile misaada ya bajeti mtaisikia tu, hamtaki mkosoleweWewe huna akili ,Beberu ashughulike na mtu asiye na maslahi naye? Uko mzima kweli wewe?
Watanzania wana imani kubwa sana na CCM na serikali yake.Huwezi shindana na CCM Kwa nguvu. Njia ni mbili tu kuishitaki CCM Kwa Mungu na Kwa raia. Maombi na mziki zomeazomea ukisikia hatamu Kila kitu utaona kinakaa kwenye nafasi yake
Binadamu akipata changamoto huamsha ubongo na anapokuwa katika tukio hilo huibuka na ubunifu, na ukitaka kujua kwamba binadamu ana akili sana akipata changamoto huzitatua japo baadhi ni wavivu wa kufikiriCcm imara wakati tunaona kutwa unaruka na Lissu tu, mwaka huu kazi mnayo
Kama alivyotetemesha JechaCCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Kuna jipya gani huyo kibaraka kabakiza kulisema?Kama unadhani Lissu ni mtu wa kuendekeza njaa utasubiri sana. Tulieni na jiandaeni tu kulala na viatu.
Unadhani mzee meko alivyoamua kutumia bunduki hadi akafa yeye alikuwa mjinga?
Hata mimi Mtanzania usitulazimisheWatanzania wana imani kubwa sana na CCM na serikali yake.
CCM ndio chama kilichopewa ridhaa ya kuongoza Taifa letu. Hiki ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM. Huwezi kuitenganisha CCM na Taifa hili. Uhai ,utulivu usalama,amani na ustawi wa Taifa hili unategemea kwa kiasi kikubwa uwepo wa CCM Madarakani.
Sasa ni mwenyekiti wa Chama , mguse unukeKuna jipya gani huyo kibaraka kabakiza kulisema?
By the way alipigwa pin kule Ngorongoro alifanya nini? Hata Sasa akizingua atakula pin kama Kawa na hana Cha kufanya,utakuja kujiuliza humu jf.
Ataingia mwenyewe kwenye mdomo wa mamba.Sasa mguseni tena Lissu safari za ulaya mtazisikia tu na ile misaada ya bajeti mtaisikia tu, hamtaki mkosolewe
Kijana wa hovyo, mkiona vyama pinzani ni kero kwenu mboga mboga vifuteni mbaki nyie mtawale milele ,Tena na katiba mnaweza futa kabisa isiwepo matamko yenu yawe sheriaNdugu zangu Watanzania,
Kuna uwezekano kuna watu au kikundi cha watu au Wafuasi wa lissu wakawa na matumaini na matarajio makubwa sana na lissu kwamba anaweza badilisha au lazimisha kufanyika kwa jambo lolote lile analotaka au wanalolitaka wao kwa nguvu au mabavu au kwa shinikizo.
Nipende tu kuwaambieni ukweli mchungu kuwa iwe leo au kesho au kesho kutwa Lissu hana ubavu wala uwezo wala nguvu wala maamuzi ya kufanya jambo lolote lile kubwa liwe la kimfumo au kisheria au kisera pasipo kwanza kukaa kwenye meza ya mazungumzo na CCM na serikali yake.
Ili jambo lolote lifanyike ni sharti CCM iridhie na kukubali. Kwa sababu CCM ndio chama kilichojitawala ndani ya Bunge na kwingine kote kwenye ngazi za uwakilishi.
Kwa hiyo unaposema unataka mabadiliko ya aina yoyote ile iwe ni kisheria au kisera .maana yake unapaswa kujenga hoja na kuridhiana na CCM na serikali yake ambayo ndio yenye wabunge wengi ndani ya Bunge letu.
Mbali na hapo ni kuwa lissu ataishia kupiga makelele yake mpaka achoke na Mwisho wa siku hakuna kitakachobadilika hata kwa herufi moja au tarakimu moja.
Akija kibabe basi CCM tutamkabili na kupambana naye katika namna hiyo hiyo atakayo kuja nayo. Akija kiungwana tutampokea kwa namna hiyo hiyo na kukaa naye mezani kumsikiliza. Akija kwa Shari na chuki basi awe tayari kupata majibu ya aina hiyohiyo.
Hii ni kwa kuwa CCM ndio chama kilichopewa ridhaa na watanzania ya kuwaongoza.Muongozo wa CCM ilikuwa ni ilani yetu ambayo ndio tuliyoinadi kwa wananchi. kwa hiyo kilichopo kwenye ilani yetu ndicho tunachokitekeleza. Kama wewe mwingine una jambo lako basi subiri uchaguzi na nenda kwa wananchi uombe kura zikitosha ndio utekelezage hicho unachokitaka wewe.
Lakini kwa sasa kwa kuwa sisi ndio wenye serikali hivyo huna budi kuja mezani na hoja zenye mashiko ili nasi tukupe hoja zetu juu ya kipi kinawezekana kwa wakati huu na kipi hakiwezekani kwa sasa na kingoje muda fulani au wakati. Mkataba wetu na wananchi ni Ilani ambayo ilichaguliwa na wananchi. tuulizwe na kushinikizwa kutekeleza kilicho kwenye ilani yetu .
Ila kile ambacho hakipo kwenye ilani yetu ni sharti kije kwa njia ya kufanya Mazungumzo na maridhiano. na katika mazungumzo na maridhiano ni lazima uelewe hutapata yoote unayoyahitaji. Bali yapo mengine utapata na mengine utapata kiasi na mengine itabidi usubiri wakati wake ufike.
Kwa hiyo lissu akijifanya kuongozwa na Mihemuko pasipo kutumia akili, busara ,hekima , utulivu, subira na uvumilivu. Basi atakosa yoote na hatakuwa na cha kutufanya wala kufanya wala kubadilisha kitu chochote kile ndani ya katiba au sheria zetu. Kwa hiyo ni lazima aje kwa nidhamu ,hekima na utayari wa kukaa mezani.
Lakini asije na majibu yake mfukoni au Misimamo. Majibu yatapatikana katika meza ya mazungumzo na kuwa na msimamo wa pamoja wa namna ya kusonga mbele kwa pamoja kama Taifa .
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe huna akili,ngoja aropoke mtapata majibu humu humuSasa ni mwenyekiti wa Chama , mguse unuke
Huyu ni Mwenyekiti wa chama umechelewa sanaAtaingia mwenyewe kwenye mdomo wa mamba.
Kule Ngorongoro alipigwa pin Kwa nini hakuleta zahama?
Sina maneno mengi. Ujumbe wangu kwako, jiandae kulala na viatu. Lissu hanaga shughuli ndogo kama unabisha nenda kabulini chato kamuulize mzee meko.Kuna jipya gani huyo kibaraka kabakiza kulisema?