Lissu Bila Kukaa Kwenye Meza Ya Mazungumzo na CCM na Serikali yake hatafanikiwa kwa lolote lile

Ni huru. kinachowaangusha upinzani siyo tume bali ni udhaifu wa vyama vyenu na kukosa sera na ajenda zenye kugusa Maisha ya watu.

..Nakubaliana na wewe kwamba vyama vya upinzani ni dhaifu.

..CCM inapokea BILLION 3.2 ruzuku kila mwezi vyama vya upinzani haviwezi kulingana nayo.

..Lakini mazingira hayo yasiwe kisingizio cha CCM kutokufanya marekebisho ya Katiba yatakayopelekea tupate TUME HURU.

..Hakuna haja ya CCM kukaa mezani na yeyote kuhusu suala hilo kwasababu tayari kuna mapendekezo ya Tume za Jaji Nyalali, Jaji Robert Kisanga, Jaji Mark Bomani, Jaji Joseph Warioba, na Prof.Mukandala, kuhusu ulazima wa Tume Huru ya Uchaguzi, na namna ya kuiunda.
 
Watanzania wana mahitaji yao ya msingi ambayo wala siyo suala la katiba
 
Watanzania wana mahitaji yao ya msingi ambayo wala siyo suala la katiba

..Ni kweli Watanzania tuna mahitaji mengi ya msingi.

..Lakini Katiba Bora ndiyo inayoweka msingi wa utawala na uongozi na namna ya kuyapata hayo mambo ya msingi uliyoyazungumzia.
 
Bila shaka huna wazazi. Maana wangekuwepo wasingekubali uendelee kuwepo mtaani badala ya Mirembe
Wewe uliyepatikana kwenye mkesha wa mwenge ndiye huna wazazi ndiyo maana unawaza ujinga wa kiccm tu maana mwenge ndiyo babako.
 
Mkuu unao uhuru wa kutoa maoni yako. Tumekusikia!!
 


Lisu ana serikali?
 
Mny
Mnyiha, unaumia ukiwa wapi?
 
..Ni kweli Watanzania tuna mahitaji mengi ya msingi.

..Lakini Katiba Bora ndiyo inayoweka msingi wa utawala na uongozi na namna ya kuyapata hayo mambo ya msingi uliyoyazungumzia.
Katiba mpya siyo kipaombele cha watanzania
 
Lakini ulisema hatashinda hata huo uchaguzi dhidi ya Mbowe 😏
 
Maridhiano lazima yawe ya vitendo,sio maridhiano ya kumfanya mmoja aonekane ana haki na mwingine hana haki. Maridhiano ya usawa kwa vyama vyote vya siasa,maridhiano ya kikatiba na yasiyokuwa ya udanganyifu
 
Unawaza kama mtu wa mwaka 570 AD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…