LGE2024 Lissu: CHADEMA tunahitaji kurudi nyuma na kujipanga upya, kwenda mbele kwenye mazingira haya ni kujihahakishia anguko

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mnajaribu kufanya damage control eh

Lissu kama mwanachama ana haki ya kutoa maoni yake kama raia na mwanachama huo haukuwa mkutano wa chama.

Halafu CCM mbona hamna makamu mwenyekiti hadi leo tangia Kinana alazimishwe "kujiuzulu" kama Ndugai.
Lissu ana fursa ya kuongea katika vikao vya chama, kwa nini aropoke mabarabarani
 
Lissu ana fursa ya kuongea katika vikao vya chama, kwa nini aropoke mabarabarani
Unaelewa maana ya kuropoka?

Kilichoongelewa leo unasema ni uropokaji ule?

Lissu amezungumzia vitu vilivyo dhahiri , nani haelewi ushenzi uliofanyika kwenye hiki kinachoitwa uchaguzi .

CCM kwanini hadi leo hamna makamu mwenyekiti , hujajibu swali langu.
 
True ni uongo Bora kususia uchaguzi fake wa kizimkazi

CCM kimekufa na mwaka huu mmoja kuelekea 2025 bila kufanya mabadiliko ya kweli chama hiki kinadondoka.
SASA KINAKUFA CCM AU CHADEMA ?CCM IMESIMAAMA IMARA CHADEMA WANAJIULIZA WARUDI NYUMA KUJIPANGA WEWE NI NANI MPAKA USEME CCM INAKUFA? ONA HATA AIBU
 
ACT HAITOKUJA KUWA CHAMA KIKUBWA CHA UPINZANI. SABABU HAIJAWAHI KUWA CHA UPINZANI. LISSU ANA AKILI NI NGUMU YEYE AKAKAA KUJADILIANA NA SAMIA.LABDA SAMIA ATAFUTE WATU WA KUMSAIDIA KUJADILIANA NA LISSU.
 
Jamani mbona kuna wana CCM wengi wanamzarau mwambaa mdude??hivi unaweza kumlinganisha mdude na watu akina kafulila na vijana wengine wa CCM ambao wanashiriki kuhujumu TAIFA??taifa hili linahitaji vijana wengi kama mdude sio walamba miguu ya wezi na mafisadi.
 
Naona Lissu anatupa taulo, kabla hata mechi haijaanza, TKO ya mwamba wa kizimkazi
Hamwezi ushindani huko ccm, mnaivuruga nchi kwa ujinga wenu, haya semeni ni kipi kinachowafanya mwaengue wapinzani bila ya sababu?
 
ACT HAITOKUJA KUWA CHAMA KIKUBWA CHA UPINZANI. SABABU HAIJAWAHI KUWA CHA UPINZANI. LISSU ANA AKILI NI NGUMU YEYE AKAKAA KUJADILIANA NA SAMIA.LABDA SAMIA ATAFUTE WATU WA KUMSAIDIA KUJADILIANA NA LISSU.
Hauzijui siasa dogo wa 2000. Huyo Lissu wako ataisha kama kina Christopher Mtikila tu au Seif Sharrif Hamad.

Huwezi kuwa Rais wa Tanzania kwa sifa ya kuropoka au kufoka
 
Mbowe atapata wapi guts za kusema kweli wakati yuko madarakani kwa shuruti na kashakula hela ya ccm?
Tengenezeni chama chenu ila CHADEMA ni ya Edwin Mtei na mkwewe Mbowe.
 
Tengenezeni chama chenu ila CHADEMA ni ya Edwin Mtei na mkwewe Mbowe.
Umewasahau mke wa Edwin Mtei, na watoto wake, wote hicho ni chama chao. Una dukuduku lingine kwa msaada zaidi?
 
Lissu na ubinafsi wake hajali huu uchaguzi wa serikali za mitaa maana yeye hagombei. Anasema tujipange upya kwa vile 2025 apete. Kwanini kama kuna mapungufu wasiombe zoezi kurudiwa
Mapungufu ya makusudi,nyie ndiye mnaenadi ujinga cha muhimu ni kuwasusia na uchaguzi wenu
 
Hayo ni maoni yako. Yatizo lako hupendi kusikia ukweli. Hivi hiyo vita unayosema chadema kupigana (tena bila wewe) wamesalia wangapi baada ya kuenguliwa???Hivi wewe kama mwananchi jukumu lako ni nini? Kuwabeza wapinzani??
 
Zitto anatembea na faili la Usajili wa Chama kwenye Frash icho bado sana na CCM ipo sana mpaka Wananchi waamue wenyewe bila Hivi Vyama Upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…