chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Lissu ana fursa ya kuongea katika vikao vya chama, kwa nini aropoke mabarabaraniMnajaribu kufanya damage control eh
Lissu kama mwanachama ana haki ya kutoa maoni yake kama raia na mwanachama huo haukuwa mkutano wa chama.
Halafu CCM mbona hamna makamu mwenyekiti hadi leo tangia Kinana alazimishwe "kujiuzulu" kama Ndugai.