Pre GE2025 Lissu: Dkt. Slaa ni tishio kiasi gani kama sio ukandamizaji, tunahitaji kutengeneza nchi mpya kukomesha uonevu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu unajua, ukisema nitakuua, hata uwe na umri wa miaka 200, iko shida itakupata pamja na kuwa huwezi kwenda kuua physically kwa umri wako!
 
Lissu hajui kwamba "kingamaji" Wake Mbowe sasa hayupo, na yeye ndio kioo cha chama, therefore he is within range. Zamani alikuwa anajificha mgongoni mwa Mbowe.
 
yaaani wamekutana wote hawana akili hivi kama anajijua ni mzee wa miaka 76 kinachomfanay kufanya uchochezi yaaani na uzee wake anakesha kwenye mitandaio kuandika uzushi ili baadsae aje aonewe huruma? aache upumbavu wake hakuna nchi ya kuchezea kijinga hivyo
 
Akili yako ndogo utaelewa nini? Kwa nini akae ndani kwa kosa lenye dhamana, hiyo ndiyo hoja kuu
kwahiyo anafanya ujinga makusudi ili aje apewe dhamana? anafundishwa adabu ili akitoka maji aite mma asirudie tena
 
Kwani kijana aliyechoma picha ya samia alikuwa tishio kiasi gani? Where is he?
 
Huyu babu anatafuta matatizo Bure.
Biashsra ya club house aikimbie kama ukoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…