Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.
Aidha