Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tulishasema humu kitambo sana ila watu waliamua kumtwisha Mbowe na kwamba alilipwa hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasemekana Lissu ana shida kichwani na amepata ugonjwa uliokua ukimsumbua Magufuli!! Mbowe sio mjinga kukubali kubeba hii fedheha alimpenda sana Lissu! Muda ni hakimu mzuri tutajua tu huko mbele.Juzi juzi amesema aliletwa na Mbowe leo Dr Silaa. Ngoja tusubirie kesho atasemaje
Najua kila kitu atakachosema utakiona kizuri tu😂Jamaa nimemsikiliza, yupo vizuri TAL.
Hii sinema Bomba sana, tunaomba isiishe!Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.
Aidha
Kama naanza kuamini vileInasemekana Lissu ana shida kichwani na amepata ugonjwa uliokua ukimsumbua Magufuli!! Mbowe sio mjinga kukubali kubeba hii fedheha alimpenda sana Lissu! Muda ni hakimu mzuri tutajua tu huko mbele.
Yupo vizuri mkuu huo ndo ukweli.Najua kila kitu atakachosema utakiona kizuri tu😂
hawa jamaa wa chadema ni km watoto, halafu kwao uwongo kitu cha kawaida. Hawana ht aibu.Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.
Aidha
Huo “ukweli” ni ukweli wako sio wangu. Tusilazimishane.Yupo vizuri mkuu huo ndo ukweli.
Wanachochea ukuni wakalipuke wote
Wewe unamuonaje kwani TAL? Ni wa mchezo mchezo?Huo “ukweli” ni ukweli wako sio wangu. Tusilazimishane.
Endelea kuamini unavyoamini. Nimekuambia tusilazimishane tafadhali.Wewe unamuonaje kwani TAL? Ni wa mchezo mchezo?
Lissu kweli atabiriki,Kwani Slaa si yupo upande wake au?!Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.
Aidha
Mbowe akikosea, ni kosa la Mbowe. Lissu akikosea, ni kwa sababu taasisi nzima ilikosea. Mna dhambi sana ninyi!Na amekosea kwa sababu taasisi nzima ilikosea hivyo kama sehemu ya taasisi amekubali dhambi hiyo
Wee kwahiyo lisu hakuna kitu kabisa pale..isee huu ugonjwa wa akili ni real kumbee..!flying monkeys wake watakuja kukwambia “kumwelewa lisu unahitaji zaidi ya d2 “ huyo jamaa hamna kitu kabisa sema tanzagiza kila kitu ni kinyume …
🤣🤣🤣Suala la lowassa sijui hata kalijibuje.,......nasikia tu,
"Dr slaa ndiye aliyemleta......."
"Dr slaa aje alijibie hili kwanini alimleta"
"Ni kweli nami nilihusika katika suala hilo, siwezi kubisha"
Nimeenda kulala
Haya mkuuEndelea kuamini unavyoamini. Nimekuambia tusilazimishane tafadhali.