Pre GE2025 Lissu: Dr. Slaa ndiye alimleta Lowassa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tulishasema humu kitambo sana ila watu waliamua kumtwisha Mbowe na kwamba alilipwa hela
 
Juzi juzi amesema aliletwa na Mbowe leo Dr Silaa. Ngoja tusubirie kesho atasemaje
Inasemekana Lissu ana shida kichwani na amepata ugonjwa uliokua ukimsumbua Magufuli!! Mbowe sio mjinga kukubali kubeba hii fedheha alimpenda sana Lissu! Muda ni hakimu mzuri tutajua tu huko mbele.
 
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.

Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.

Aidha
Hii sinema Bomba sana, tunaomba isiishe!
 
Inasemekana Lissu ana shida kichwani na amepata ugonjwa uliokua ukimsumbua Magufuli!! Mbowe sio mjinga kukubali kubeba hii fedheha alimpenda sana Lissu! Muda ni hakimu mzuri tutajua tu huko mbele.
Kama naanza kuamini vile
 
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.

Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.

Aidha
hawa jamaa wa chadema ni km watoto, halafu kwao uwongo kitu cha kawaida. Hawana ht aibu.
 
Slaa anasema Mbowe alimleta Lowassa, Lissu anasema Slaa ndiyo alimleta Lowassa.
Slaa ni kampeni manager wa Lissu...
Unganisha dots...
 
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.

Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Aidha amesema na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.

Aidha
Lissu kweli atabiriki,Kwani Slaa si yupo upande wake au?!
 
Na amekosea kwa sababu taasisi nzima ilikosea hivyo kama sehemu ya taasisi amekubali dhambi hiyo
Mbowe akikosea, ni kosa la Mbowe. Lissu akikosea, ni kwa sababu taasisi nzima ilikosea. Mna dhambi sana ninyi!
 
flying monkeys wake watakuja kukwambia “kumwelewa lisu unahitaji zaidi ya d2 “ huyo jamaa hamna kitu kabisa sema tanzagiza kila kitu ni kinyume …
Wee kwahiyo lisu hakuna kitu kabisa pale..isee huu ugonjwa wa akili ni real kumbee..!
 
Suala la lowassa sijui hata kalijibuje.,......nasikia tu,
"Dr slaa ndiye aliyemleta......."
"Dr slaa aje alijibie hili kwanini alimleta"
"Ni kweli nami nilihusika katika suala hilo, siwezi kubisha"

Nimeenda kulala
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom