Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hii issue ilikua wazi dk slaa akavutwa chemba na ccm na kumoa pesa na ubaloziDr. Slaa ndiye alimleta Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.
Dr. Slaa ndiye alimleta Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.
🤣Suala la lowassa sijui hata kalijibuje.,......nasikia tu,
"Dr slaa ndiye aliyemleta......."
"Dr slaa aje alijibie hili kwanini alimleta"
"Ni kweli nami nilihusika katika suala hilo, siwezi kubisha"
Nimeenda kulala
Majina ya kija yanamwogopa Lissu.flying monkeys wake watakuja kukwambia “kumwelewa lisu unahitaji d2” , huyo jamaa hamna kitu kabisa sema tanzagiza kila kitu ni kinyume …
Mbona kasema kwa hilo anakubali kosa au hausikilizi mdahalo?Ni vyema kama Lisu akikubali tu kuwa walikosea kumleta Lowasa CHADEMA.
Kukosea ni ubinadamu. Cha muhimu ni kujifunza kutokana na hayo makosa.
Na amekosea kwa sababu taasisi nzima ilikosea hivyo kama sehemu ya taasisi amekubali dhambi hiyoNi vyema kama Lisu akikubali tu kuwa walikosea kumleta Lowasa CHADEMA.
Kukosea ni ubinadamu. Cha muhimu ni kujifunza kutokana na hayo makosa.
Ok, good for him.Na amekosea kwa sababu taasisi nzima ilikosea hivyo kama sehemu ya taasisi amekubali dhambi hiyo
Na Slaa ndiye aliyesema chama kimeuzwa. 😂😂Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa
Na ndiye aliyetisha kikao cha kamati kuu cha kumkaribisha Lowassa, Na ndiye aliyenipigia mimi simu nikiwa jimboni kwangu Singida Mashariki tarehe 26 au 27 ya Julai 2015 na kuniambia njoo kuna kamati kuu ya dharula kesho.
Wanasoma vichwa vya habariMbona kasema kwa hilo anakubali kosa au hausikilizi mdahalo?
Ndiomaana Mimi sikutaka kumsikiliza huyu jamaa .Kajitoa kabisa kwenye suala la LowasaSuala la lowassa sijui hata kalijibuje.,......nasikia tu,
"Dr slaa ndiye aliyemleta......."
"Dr slaa aje alijibie hili kwanini alimleta"
"Ni kweli nami nilihusika katika suala hilo, siwezi kubisha"
Nimeenda kulala
Ni vyema kama Lisu akikubali tu kuwa walikosea kumleta Lowasa CHADEMA.
Kukosea ni ubinadamu. Cha muhimu ni kujifunza kutokana na hayo makosa.