Heher kilichofanya mpige magoti ni nini? Mtaona mwaka huu. Tumeshaona kimbe mikwara mingi tu. Mboja juzi mabomu mmepiga na mkutano ukaendelea tu huko nyamongo na serengeti kama hakuna kilichotokea vile.Kama unaamini Kuna mtanzania wa kuingia barabarani kwa ajili ya Lissu fikiria mara 2. Wabongo Wana mkwara mitandaoni kujazana ujinga, ukifika muda wa action kila mtu anamsikilizia mwenzake. Nakuhakikishia hakuna mtanzania wa kuingia barabarani. Wabongo mmejaa mitandaoni tu na CCM inajua hilo ndo maana inawachezesha kwata.
Polisi walidhani baada ya mabomu ya machozi wananchi watatawanyika na kikacha mkutano.
Tumejifunza dawa ni kuwakazia tu.
Jana huko Ifakar wananchi walikaza polisi wanamwambia mwenzao piga piga wape wape kibano. Hadi polisi kaogopa wakaendelea.