Uchaguzi 2020 Lissu dume la ng'ombe analolichinja halifungiki kwa kamba. Japo litakata roho lakini mateke yake lazima yamjeruhi.

Heher kilichofanya mpige magoti ni nini? Mtaona mwaka huu. Tumeshaona kimbe mikwara mingi tu. Mboja juzi mabomu mmepiga na mkutano ukaendelea tu huko nyamongo na serengeti kama hakuna kilichotokea vile.

Polisi walidhani baada ya mabomu ya machozi wananchi watatawanyika na kikacha mkutano.

Tumejifunza dawa ni kuwakazia tu.

Jana huko Ifakar wananchi walikaza polisi wanamwambia mwenzao piga piga wape wape kibano. Hadi polisi kaogopa wakaendelea.
 
Kwahiyo hilo ndo litamuweka Lissu Ikulu!?.. huelewi kitu unaongelea ushabiki tu. Nakuhakikishia Lissu hawezi kuwa Raisi wa nchi hii, liwake jua inyeshe mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…