Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Na Mimi nashangaa sana jinsi watu wanavyo aminishwa kuhusu jambo hilo. Wangejiuliza mbona limeshikwa kidedea na wapenzi kindakindaki wa CCM? Hivi ingekuwa kuna mpango wa kumuengua Lissu ccm wao si wangepiga kimya ili ufanikiwe na mambo yao yaende murua?Hivi mbona mnaamini uzushi wa nguruwe wa Lumumba? Aliyewaambia Lissu hagombei ni nani?
Mbona wao ndio wanajifanya wana uchungu eti anawekwa Nyalandu?
Watu wasichotwe na ujinga wa Polepole na timu yake mangungu!