Na Mimi nashangaa sana jinsi watu wanavyo aminishwa kuhusu jambo hilo. Wangejiuliza mbona limeshikwa kidedea na wapenzi kindakindaki wa CCM? Hivi ingekuwa kuna mpango wa kumuengua Lissu ccm wao si wangepiga kimya ili ufanikiwe na mambo yao yaende murua?Hivi mbona mnaamini uzushi wa nguruwe wa Lumumba? Aliyewaambia Lissu hagombei ni nani?
Nyie CCM ni nguruwe tu mnakula kila uchafuKama ninyi kweli ni wanachadema,Kumbe watu wanavyowaita nyymbu hawakosei.
Hivi kweli tukisema ukweli,mnaijua vizuri kweli nafasi hii ya urais?
Nafasi hii inahitaji mtu mwenye hekima na uadilifu sana.
Kati ya hao naona mapungufu yako wazi kwa wote.
Lisu kuhusu uadilifu sijui,ila kuhusu hekima nina uhakika hana kabisa.Hafai kuwa Rais.
Huyo Nyalandu anaonekana ana hekima sana,ila kuhusu uadilifu sina uhakika naye kabisa.
Tundu Lisu ana kesi nyingi na siamini kama akija watamwacha awe huru.Sijui mambo ya mahakama lakini nakumbuka mahakana ilitaka kuwashughulikia wadhamini kiasi kwamba walitaka kujitoa.
Je akifika na wakajitoa,atapata wadhamini wengine na hali ya siasa ndio hii mnayoijua?
Hivi agenda ya upinzani mwaka huu ni ipi?[SUP]Kuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi wako nyuma ya lissu jifanyeni tu kama mmajikuna mkate jina Mh lissu hamtakaa msahau maamuzi yenu mabovu Andiko hili nilakuwaonya Viongozi kamati kuu[/SUP]
Kuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi wako nyuma ya lissu jifanyeni tu kama mmajikuna mkate jina Mh lissu hamtakaa msahau maamuzi yenu mabovu Andiko hili nilakuwaonya Viongozi kamati kuu
ACT wakiweza kumtengenezea Ulinzi wa uhakika wakamwahidi uhakika anaweza kuhamia hukoKuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi wako nyuma ya lissu jifanyeni tu kama mmajikuna mkate jina Mh lissu hamtakaa msahau maamuzi yenu mabovu Andiko hili nilakuwaonya Viongozi kamati kuu
Naunga mkono hoja,Mbowe na genge lake the so called kamati kuu, jifanyeni viziwi mlete uhuni wa kukata jina la Lissu ndo mtaelewa nini maana ya nguvu ya Umma.
Hatuwezi kuafford kumpoteza Dr.Slaa na Lissu within 5 Years... aiseee
Mkuu, Nyarandu ana pesaSiamini kama Nyarandu anaweza kuwa mgombea wa Chadema,kwa lipi alilolifanya?kama kweli Mbowe atamtosa Lissu,Basi yote anayosingiziwaga yatageuka ukweli.Remember NCCR na Mrema
Kuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi wako nyuma ya lissu jifanyeni tu kama mmajikuna mkate jina Mh lissu hamtakaa msahau maamuzi yenu mabovu Andiko hili nilakuwaonya Viongozi kamati kuu
Yan huo ujinga mgombea chadema asipokuwa lissu naipigia ccm.
Wakina Mbowe wakitufanyia ushenzi kama walioufanya mwaka 2015, kwenye hicho chama tutamuacha yeye na familia yake.
Piga chini tu.kwanza hana hela.Mbowe ni pesa kwanza mambo mengine ndo yafate.
Mbowe itakula kwake
Mbowe na wenzako hebu msimamisheni Lisu ili tukapige kura hata sisi tuliokata tamaa, Kama mkiamua vinginevyo mtaijua vizuri nguvu ya uma, ambayo huwa mnaihubiri kila siku.
Lissu anatinga timu Jumatatu ijayo na ndiye mgombea urais wa coalition ya upinzani kupitia chama chake cha Chadema.
habari ndiyo hiyo!
Siamini kama Nyarandu anaweza kuwa mgombea wa Chadema,kwa lipi alilolifanya?kama kweli Mbowe atamtosa Lissu,Basi yote anayosingiziwaga yatageuka ukweli.Remember NCCR na Mrema
Nyalandu amejipanga kiuchumi kufanya kampeni kama mgombea urais lkn mbelgiji mfuko umetoboka ni maneno meengi wakati mwenye chama anataka pesa itangulie sio maneno.
Naunga mkono hoja,Mbowe na genge lake the so called kamati kuu, jifanyeni viziwi mlete uhuni wa kukata jina la Lissu ndo mtaelewa nini maana ya nguvu ya Umma.
Hatuwezi kuafford kumpoteza Dr.Slaa na Lissu within 5 Years... aiseee
Ki ukweli kama watafanya tofauti watu wengi hawatawaelewa!! Acha tushindwe tukiwa na jemedari LISU!!! hakuna atakaye laumu mtu, ila wakifanya tofauti, hata waliokata tamaa na kupiga kura hawatajitokeza kamwe!!!
Mbowe keshakula za Nyalandu.mbelgiji hataamini na kiduku chake.Tulieni mtaona the show watu wenye akili wanaunda vya kuundwa kaeni vizuri, ila woga ondoeni mkiambiwa up ni up sio tena mambo ya kioga oga ya chama zee.