Nimekuelewa1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea.
2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani.
3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha watanzania kufanya uasi juu ya mfumo kandamizi na wa dhuluma. Waambie kama tafsiri ya mahakama juu ya uasi huo ni uhaini basi umejiandaa na upo tayari kunyongwa kwa ajili ya msimamo huo.
Ukifanya hivyo waachie mpira, wacheze wao na mechi itawahi kuisha.
Hiyo ndo dawa.Nimekuelewa
Hawana ujanja huo. Badala yake italeta ari tofauti sana.Unataka mwenzako aozee jela wakati wewe upo uraiani unaenjoy.
Good.Sawa Mheshimiwa Bushiloya. Nitafanya kama ulivyo shauri.
Hawana ujanja huo. Badala yake italeta ari tofauti sana.
By the way kama kweli wamedhamiria kumuozesha jela (means wameamua kuwa vipofu na viziwi) hakuna kitu mawakili watafanya kuepusha hilo.
Kwani kama kwa ukiziwi na upofu wao wameamua kumuua, mawakili wana uwezo wa kuzuia?Unacheza wewe.
Kwenye siasa watu wanauawa wewe unamshauri ajitie kitanzi mwenyewe. Unafikiri kuna atakayemuonea huruma Kati Yao?
kwani wewe unaijua kesho yako? unadhani walioko jela wote wana hatia?Unataka mwenzako aozee jela wakati wewe upo uraiani unaenjoy.
woga ni dhambi. msimamo mwanzo mwisho. Mtetezi wa Lissu ni Mungu pekee!Unacheza wewe.
Kwenye siasa watu wanauawa wewe unamshauri ajitie kitanzi mwenyewe. Unafikiri kuna atakayemuonea huruma Kati Yao?
Mkuu hata weusi wa Africa Kusini walikuwa wanawaambia makuburi ole wenu mumguse Mandela. Mbona alishitakiwa na kufungwa 27yrs? Kwani watu waliacha kazi zao?Mmebakia kuwa keyboard warriors, wakati hajakamatwa mlikuwa mnasema "ole wenu tal aguswe", kaguswa tena kati kati ya maelfu ya watu, sasa hv hakuna tena la maana kila mtu anafanya yake..
HI NDO TANZANIA NINAYOIJUA..
nani alisema "ole wenu tal aguswe"Mmebakia kuwa keyboard warriors, wakati hajakamatwa mlikuwa mnasema "ole wenu tal aguswe", kaguswa tena kati kati ya maelfu ya watu, sasa hv hakuna tena la maana kila mtu anafanya yake..
HI NDO TANZANIA NINAYOIJUA..
ningekuwa Lissu ningefuata kama alivyosema mleta Uzi. Maisha haya yanapita. Mtu alizaliwa siku moja na atakufa siku moja. Yuko wapi Maghufuli aliyekuwa anajiita jiwe. Hakuna watakachomfanya akiendelea kuweka msimamo, Mungu ndiye mwamuzi na mwenye hatima ya maisha yetu. Mbingu zinajua Lissu yuko kutetea haki za watu wa Mungu.Kwamba aache kutumia akili zake atumie zako au sio😂
Sahihi kabisa.woga ni dhambi. msimamo mwanzo mwisho. Mtetezi wa Lissu ni Mungu pekee!
Lissu anatakiwa aendelee kuiambia mahakama na dunia kuwa: No reforms, no election Wanadamu wasipomsikikiza, Mungu ndiye atakayeamua.