Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
shetani habembelezwi. Na hatuna sababu ya kujitetea kwa shetani.Sahihi kabisa.
shetani habembelezwi. Na hatuna sababu ya kujitetea kwa shetani.Sahihi kabisa.
Kama unapointi hivi......maana Uasi sio Uhaini. Sasa wabaki wanacheza ngoma wao.1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea.
2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani.
3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha watanzania kufanya uasi juu ya mfumo kandamizi na wa dhuluma. Waambie kama tafsiri ya mahakama juu ya uasi huo ni uhaini basi umejiandaa na upo tayari kunyongwa kwa ajili ya msimamo huo.
Ukifanya hivyo waachie mpira, wacheze wao na mechi itawahi kuisha.
Hongera sana. Naona umeelewa mantiki ya hoja yangu kwa 150%.ningekuwa Lissu ningefuata kama alivyosema mleta Uzi. Maisha haya yanapita. Mtu alizaliwa siku moja na atakufa siku moja. Yuko wapi Maghufuli aliyekuwa anajiita jiwe. Hakuna watakachomfanya akiendelea kuweka msimamo, Mungu ndiye mwamuzi na mwenye hatima ya maisha yetu. Mbingu zinajua Lissu yuko kutetea haki za watu wa Mungu.
Bwana Mungu hutawala miongoni mwa Falme za Binadamu.woga ni dhambi. msimamo mwanzo mwisho. Mtetezi wa Lissu ni Mungu pekee!
Lissu anatakiwa aendelee kuiambia mahakama na dunia kuwa: No reforms, no election Wanadamu wasipomsikikiza, Mungu ndiye atakayeamua.
HakikaMbingu zinajua Lissu yuko kutetea haki za watu wa Mungu.
Sahihi kabisa. Unajitetea kwa mwovu ili iweje? Hata Jesus mwenyewe (ambaye Lissu anamwamini) alivyokamatwa hakujitetea kwa chochote, akawaacha wafanye wanachoona sahihi.shetani habembelezwi. Na hatuna sababu ya kujitetea kwa shetani.
Sahihi.Kama unapointi hivi......maana Uasi sio Uhaini. Sasa wabaki wanacheza ngoma wao.
Sahihi kabisa. Unajitetea kwa mwovu ili iweje? Hata Jesus mwenyewe (ambaye Lissu anamwamini) alivyokamatwa hakujitetea kwa chochote, akawaacha wafanye wanachoona sahihi.
Kwanza akifanya hivyo wenyewe watachanganyikiwa maana wao wamejiandaa kuzungushana kwenye vifungu vya sheria huku wakiendelea kumshikilia.
Uko serious1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea.
2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani.
3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha watanzania kufanya uasi juu ya mfumo kandamizi na wa dhuluma. Waambie kama tafsiri ya mahakama juu ya uasi huo ni uhaini basi umejiandaa na upo tayari kunyongwa kwa ajili ya msimamo huo.
Ukifanya hivyo waachie mpira, wacheze wao na mechi itawahi kuisha.
Hapo uko nyuma ya keyboard kumsakizia baba wa wenzio 😃😃😃😃😃😃1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea.
2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani.
3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha watanzania kufanya uasi juu ya mfumo kandamizi na wa dhuluma. Waambie kama tafsiri ya mahakama juu ya uasi huo ni uhaini basi umejiandaa na upo tayari kunyongwa kwa ajili ya msimamo huo.
Ukifanya hivyo waachie mpira, wacheze wao na mechi itawahi kuisha.
Na nyie mtakufa lini? Kazi kumtanguliza baba wa watu nyie mmejificha majumbani kwenu 😬😬😬😬😬Kitu kingine ambacho watu wengi hawajui, ni kuwa LISSU alishakufa tokea tarehe 07/09/2017. Mauti yake ilishatokea pale Area D Dodoma. Haya maisha anayoishi sasa sio yake. Yupo kwa kusudi lisilo lake. Maisha yake sasa yako na kusudi la Mungu 100%
wewe ungetulia tu. huelewi kinachosemwa.Na nyie mtakufa lini? Kazi kumtanguliza baba wa watu nyie mmejificha majumbani kwenu 😬😬😬😬😬
Mkuu usifananishe mandela wa afrika kusini na hawa walopokaji ambao hawana political strategists.Mkuu hata weusi wa Africa Kusini walikuwa wanawaambia makuburi ole wenu mumguse Mandela. Mbona alishitakiwa na kufungwa 27yrs? Kwani watu waliacha kazi zao?
JidanganyeUnataka mwenzako aozee jela wakati wewe upo uraiani unaenjoy.
Hata huko Africa Kusini kuna waliokuwa wakisema usimfananishe Mandela na Malcolm X, maana ilisimekana Mandela hajuo siasa bali ni mwanaharakati.Mkuu usifananishe mandela wa afrika kusini na hawa walopokaji ambao hawana political strategists.
Hii Iko sawa kabisa ni short and correct💯1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea.
2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani.
3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha watanzania kufanya uasi juu ya mfumo kandamizi na wa dhuluma. Waambie kama tafsiri ya mahakama juu ya uasi huo ni uhaini basi umejiandaa na upo tayari kunyongwa kwa ajili ya msimamo huo.
Ukifanya hivyo waachie mpira, wacheze wao na mechi itawahi kuisha.
Narudia mkuu, mandela na lisu ni mbingu na ardhiHata huko Africa Kusini kuna waliokuwa wakisema usimfananishe Mandela na Malcolm X, maana ilisimekana Mandela hajuo siasa bali ni mwanaharakati.
Ni vizuri kuwa jela kama jela kuliko kujiweka kwenye jela ya dhulma huku uraiyaniUnataka mwenzako aozee jela wakati wewe upo uraiani unaenjoy.
Mandela na lisu wapo sawa Kila kituNarudia mkuu, mandela na lisu ni mbingu na ardhi