maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Yaani watesi watakuwa wameshikwa korodani vibaya mno!Hii Iko sawa kabisa ni short and correct💯
lissu akifanya hii kinanuka kama alivyosema.
Ni kweli, maana mmoja ni mtanzania ma yuko hai, wakati mwinginw alikuwa wa afica kusini na ni marehemu sasa.Narudia mkuu, mandela na lisu ni mbingu na ardhi
Nilijua mapema hawezi kumaliza ziara zake kusini bila kukamatwa.Unacheza wewe.
Kwenye siasa watu wanauawa wewe unamshauri ajitie kitanzi mwenyewe. Unafikiri kuna atakayemuonea huruma Kati Yao?
Kwa hiyo wakimtoa watamtoa kwa sababu amejitetea vizuri au kwa sababu wameamua tu kumtoa kwa sababu nyingine?Mkuu Jela siyo kuzuri
Hicho unachoshauri,hukumu ni hapo hapoKwa hiyo wakimtoa watamtoa kwa sababu amejitetea vizuri au kwa sababu wameamua tu kumtoa kwa sababu nyingine?
Kumbe haujanielewa.Hicho unachoshauri,hukumu ni hapo hapo