Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
🖕🖕🚮🚮
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖕🖕🚮🚮
SIJUI KWANINI WATANZANIA WENGI NI WAPUMBAVUKatika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata hivyo, Tundu Lissu, ambaye amekuwa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, ameonyesha mwelekeo wa siasa za msimamo mkali (radicalism) ambao unaleta maswali kuhusu uwezo wake wa kuongoza taasisi ya kisiasa kama CHADEMA kwa mafanikio.
Uongozi radical unajulikana kwa kuwa wa msimamo mkali unaokosa uwezo wa kujadiliana na kufikia maelewano. Lissu mara nyingi ameonyesha kuwa na hulka ya kushikilia msimamo wake hata pale inapohitajika kubadilika kulingana na hali halisi. Hii ni changamoto kubwa kwa taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji kiongozi anayejua kutumia diplomasia na mazungumzo ili kufanikisha malengo yake katika mazingira magumu ya kisiasa nchini Tanzania. Siasa ni mchezo wa compromise. Badala ya kuunganisha, uongozi wa aina hii unachochea mgawanyiko wa ndani, na hili linaweza kudhoofisha chama.
Historia ya kauli za Lissu inaonyesha mwelekeo wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani. Katika siasa za demokrasia, kuna haja ya kueneza ujumbe wa matumaini na mshikamano, badala ya kutumia lugha inayoweza kuleta hofu au vurugu. Kauli zake za mara kwa mara za kukosoa kila hatua ya serikali, hata zile zenye manufaa kwa wananchi, zinaashiria kwamba hana utayari wa kushirikiana kwa maslahi ya taifa. Badala ya kuwa kiongozi anayejenga, anaonekana kama mtu anayebomoa na kukosoa bila kutoa suluhisho mbadala. Alishawahi kutoa kauli nyingi hatari juu ya Muungano, rais wa awamu ya kwanza, mambo ya madini, amewabagaza viongozi wa dini, viongozi wenzake na kila mtu ameonja shuruba yake.
Uongozi radical unakosa uvumilivu wa kisiasa, ambao ni muhimu sana katika taasisi kama CHADEMA inayojaribu kujijenga kwa umoja wa wanachama wake. Rekodi za migogoro ya mara kwa mara ndani ya chama zinaonyesha kwamba Lissu anaweza kuwa sehemu ya matatizo badala ya suluhisho. Uwezo wa kuvumilia mitazamo tofauti na kujenga mwafaka ni kiini cha demokrasia, lakini viongozi wenye hulka za radical mara nyingi hukosa sifa hii.
Kiongozi wa taasisi kama CHADEMA anapaswa kuwa na uwezo wa kuwavutia watu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Uongozi wa Lissu unaelekea kuwa wa kishari na wenye kuwagawa watu kwa misingi ya kiitikadi badala ya kuwaleta pamoja. Hii itakifanya chama kushindwa kupanua wigo wake wa kisiasa na kuvutia wafuasi wapya. Tukifuata matakwa ya Lissu tunaweza kujikuta na chama kinachowavutia wavuta bange na magaidi kama Ntarahamwe ambao wao shari ni chakula chao.
Historia ya siasa za dunia inathibitisha kuwa viongozi radical mara nyingi huishia kuharibu taasisi wanazoongoza. Mfano wa nchi nyingi za Kiafrika unaonyesha kwamba viongozi wa aina hii huishia kushindwa kufanikisha ajenda za maendeleo kwa sababu wanakosa uwezo wa kufikia mwafaka na kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii.
Tundu Lissu, akiwa kiongozi mwenye misimamo mikali hafai kuongoza taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji mshikamano, busara, na diplomasia ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. Ili CHADEMA ipate mafanikio endelevu, inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uwezo wa kujenga na sio kubomoa, mtu mwenye maono ya mshikamano na siyo mgawanyiko. Uongozi wa aina ya Lissu hautaleta mafanikio, bali utahatarisha mustakabali wa chama hicho.
Aidha mbinu anazotumia kuingia madarakani nazo zimejaa hadaa na ghilba. Sumu haionjwi. Nimeandika haya kuwapa wajumbe hadidu za rejea wanapofikiria mtu wa kuongoza Chama chao. Nimeshauri. Msipofuata shauri yenu. Kwa miaka mitano ijayo, Mkimchagua Lissu, CHADEMA itaishi kama digidigi.
Uko sahihi kabisaKatika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata hivyo, Tundu Lissu, ambaye amekuwa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, ameonyesha mwelekeo wa siasa za msimamo mkali (radicalism) ambao unaleta maswali kuhusu uwezo wake wa kuongoza taasisi ya kisiasa kama CHADEMA kwa mafanikio.
Uongozi radical unajulikana kwa kuwa wa msimamo mkali unaokosa uwezo wa kujadiliana na kufikia maelewano. Lissu mara nyingi ameonyesha kuwa na hulka ya kushikilia msimamo wake hata pale inapohitajika kubadilika kulingana na hali halisi. Hii ni changamoto kubwa kwa taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji kiongozi anayejua kutumia diplomasia na mazungumzo ili kufanikisha malengo yake katika mazingira magumu ya kisiasa nchini Tanzania. Siasa ni mchezo wa compromise. Badala ya kuunganisha, uongozi wa aina hii unachochea mgawanyiko wa ndani, na hili linaweza kudhoofisha chama.
Historia ya kauli za Lissu inaonyesha mwelekeo wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani. Katika siasa za demokrasia, kuna haja ya kueneza ujumbe wa matumaini na mshikamano, badala ya kutumia lugha inayoweza kuleta hofu au vurugu. Kauli zake za mara kwa mara za kukosoa kila hatua ya serikali, hata zile zenye manufaa kwa wananchi, zinaashiria kwamba hana utayari wa kushirikiana kwa maslahi ya taifa. Badala ya kuwa kiongozi anayejenga, anaonekana kama mtu anayebomoa na kukosoa bila kutoa suluhisho mbadala. Alishawahi kutoa kauli nyingi hatari juu ya Muungano, rais wa awamu ya kwanza, mambo ya madini, amewabagaza viongozi wa dini, viongozi wenzake na kila mtu ameonja shuruba yake.
Uongozi radical unakosa uvumilivu wa kisiasa, ambao ni muhimu sana katika taasisi kama CHADEMA inayojaribu kujijenga kwa umoja wa wanachama wake. Rekodi za migogoro ya mara kwa mara ndani ya chama zinaonyesha kwamba Lissu anaweza kuwa sehemu ya matatizo badala ya suluhisho. Uwezo wa kuvumilia mitazamo tofauti na kujenga mwafaka ni kiini cha demokrasia, lakini viongozi wenye hulka za radical mara nyingi hukosa sifa hii.
Kiongozi wa taasisi kama CHADEMA anapaswa kuwa na uwezo wa kuwavutia watu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Uongozi wa Lissu unaelekea kuwa wa kishari na wenye kuwagawa watu kwa misingi ya kiitikadi badala ya kuwaleta pamoja. Hii itakifanya chama kushindwa kupanua wigo wake wa kisiasa na kuvutia wafuasi wapya. Tukifuata matakwa ya Lissu tunaweza kujikuta na chama kinachowavutia wavuta bange na magaidi kama Ntarahamwe ambao wao shari ni chakula chao.
Historia ya siasa za dunia inathibitisha kuwa viongozi radical mara nyingi huishia kuharibu taasisi wanazoongoza. Mfano wa nchi nyingi za Kiafrika unaonyesha kwamba viongozi wa aina hii huishia kushindwa kufanikisha ajenda za maendeleo kwa sababu wanakosa uwezo wa kufikia mwafaka na kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii.
Tundu Lissu, akiwa kiongozi mwenye misimamo mikali hafai kuongoza taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji mshikamano, busara, na diplomasia ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. Ili CHADEMA ipate mafanikio endelevu, inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uwezo wa kujenga na sio kubomoa, mtu mwenye maono ya mshikamano na siyo mgawanyiko. Uongozi wa aina ya Lissu hautaleta mafanikio, bali utahatarisha mustakabali wa chama hicho.
Aidha mbinu anazotumia kuingia madarakani nazo zimejaa hadaa na ghilba. Sumu haionjwi. Nimeandika haya kuwapa wajumbe hadidu za rejea wanapofikiria mtu wa kuongoza Chama chao. Nimeshauri. Msipofuata shauri yenu. Kwa miaka mitano ijayo, Mkimchagua Lissu, CHADEMA itaishi kama digidigi.
Mkuu msamehe bure , huyo ni kati ya watu walioenda KUSOMEA UJINGA 🤣🤣vyuoni!!!SIJUI KWANINI WATANZANIA WENGI NI WAPUMBAVU
Mambo yote uliyo ongea juu ya Lisu siyo sahihi. Kwanza msimamo mkali maana yake nini. Ingekuwa anamsimamo kali jinsi alivyopigwa Risasi na yeye angahakikisha aliye mpiga Risasi naye anapigwa Risasi. Unajua maana ya msimamo mkali au unajisemea tu. Tundu Lisu hana siasa za kinafiki wala si mla Rushwa. Maisha anayo ishi ni maisha ya kawaida wala si ya Anasa. Ni mshauri mzuri na ni mtu mwenye Akili sana. Lisu anafaa kuwa mwenyekiti CDMKatika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata hivyo, Tundu Lissu, ambaye amekuwa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, ameonyesha mwelekeo wa siasa za msimamo mkali (radicalism) ambao unaleta maswali kuhusu uwezo wake wa kuongoza taasisi ya kisiasa kama CHADEMA kwa mafanikio.
Uongozi radical unajulikana kwa kuwa wa msimamo mkali unaokosa uwezo wa kujadiliana na kufikia maelewano. Lissu mara nyingi ameonyesha kuwa na hulka ya kushikilia msimamo wake hata pale inapohitajika kubadilika kulingana na hali halisi. Hii ni changamoto kubwa kwa taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji kiongozi anayejua kutumia diplomasia na mazungumzo ili kufanikisha malengo yake katika mazingira magumu ya kisiasa nchini Tanzania. Siasa ni mchezo wa compromise. Badala ya kuunganisha, uongozi wa aina hii unachochea mgawanyiko wa ndani, na hili linaweza kudhoofisha chama.
Historia ya kauli za Lissu inaonyesha mwelekeo wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani. Katika siasa za demokrasia, kuna haja ya kueneza ujumbe wa matumaini na mshikamano, badala ya kutumia lugha inayoweza kuleta hofu au vurugu. Kauli zake za mara kwa mara za kukosoa kila hatua ya serikali, hata zile zenye manufaa kwa wananchi, zinaashiria kwamba hana utayari wa kushirikiana kwa maslahi ya taifa. Badala ya kuwa kiongozi anayejenga, anaonekana kama mtu anayebomoa na kukosoa bila kutoa suluhisho mbadala. Alishawahi kutoa kauli nyingi hatari juu ya Muungano, rais wa awamu ya kwanza, mambo ya madini, amewabagaza viongozi wa dini, viongozi wenzake na kila mtu ameonja shuruba yake.
Uongozi radical unakosa uvumilivu wa kisiasa, ambao ni muhimu sana katika taasisi kama CHADEMA inayojaribu kujijenga kwa umoja wa wanachama wake. Rekodi za migogoro ya mara kwa mara ndani ya chama zinaonyesha kwamba Lissu anaweza kuwa sehemu ya matatizo badala ya suluhisho. Uwezo wa kuvumilia mitazamo tofauti na kujenga mwafaka ni kiini cha demokrasia, lakini viongozi wenye hulka za radical mara nyingi hukosa sifa hii.
Kiongozi wa taasisi kama CHADEMA anapaswa kuwa na uwezo wa kuwavutia watu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Uongozi wa Lissu unaelekea kuwa wa kishari na wenye kuwagawa watu kwa misingi ya kiitikadi badala ya kuwaleta pamoja. Hii itakifanya chama kushindwa kupanua wigo wake wa kisiasa na kuvutia wafuasi wapya. Tukifuata matakwa ya Lissu tunaweza kujikuta na chama kinachowavutia wavuta bange na magaidi kama Ntarahamwe ambao wao shari ni chakula chao.
Historia ya siasa za dunia inathibitisha kuwa viongozi radical mara nyingi huishia kuharibu taasisi wanazoongoza. Mfano wa nchi nyingi za Kiafrika unaonyesha kwamba viongozi wa aina hii huishia kushindwa kufanikisha ajenda za maendeleo kwa sababu wanakosa uwezo wa kufikia mwafaka na kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii.
Tundu Lissu, akiwa kiongozi mwenye misimamo mikali hafai kuongoza taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji mshikamano, busara, na diplomasia ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. Ili CHADEMA ipate mafanikio endelevu, inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uwezo wa kujenga na sio kubomoa, mtu mwenye maono ya mshikamano na siyo mgawanyiko. Uongozi wa aina ya Lissu hautaleta mafanikio, bali utahatarisha mustakabali wa chama hicho.
Aidha mbinu anazotumia kuingia madarakani nazo zimejaa hadaa na ghilba. Sumu haionjwi. Nimeandika haya kuwapa wajumbe hadidu za rejea wanapofikiria mtu wa kuongoza Chama chao. Nimeshauri. Msipofuata shauri yenu. Kwa miaka mitano ijayo, Mkimchagua Lissu, CHADEMA itaishi kama digidigi.
Saizi wanashangilia ila atakavyowaburuza na kuwa kama wameolewa ndio watanuna hawajui,Wakajifunze Kwa Mwendazake
Msamehe bure jamaa , ana shida kubwa ya chuki dhidi ya CHADEMA!!Mambo yote uliyo ongea juu ya Lisu siyo sahihi. Kwanza msimamo mkali maana yake nini. Ingekuwa anamsimamo kali jinsi alivyopigwa Risasi na yeye angahakikisha aliye mpiga Risasi naye anapigwa Risasi. Unajua maana ya msimamo mkali au unajisemea tu. Tundu Lisu hana siasa za kinafiki wala si mla Rushwa. Maisha anayo ishi ni maisha ya kawaida wala si ya Anasa. Ni mshauri mzuri na ni mtu mwenye Akili sana. Lisu anafaa kuwa mwenyekiti CDM
Kwenye shamba lako la mahindi nyani siku zote wanaomba usiweke mlinzi ama mbwa, uache shamba liwe wazi, na watakuja na sababu nyingi sana kutetea wewe uache shamba liwe wazi , ukifanya hivyo watakusifu sana lakini utaishia kuvuna mabua.Lissu anafaa sana kwa siasa za sasa, hawa ccm sio watu wa kuwachekea ni kuwafosi tu
Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata hivyo, Tundu Lissu, ambaye amekuwa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, ameonyesha mwelekeo wa siasa za msimamo mkali (radicalism) ambao unaleta maswali kuhusu uwezo wake wa kuongoza taasisi ya kisiasa kama CHADEMA kwa mafanikio.
Uongozi radical unajulikana kwa kuwa wa msimamo mkali unaokosa uwezo wa kujadiliana na kufikia maelewano. Lissu mara nyingi ameonyesha kuwa na hulka ya kushikilia msimamo wake hata pale inapohitajika kubadilika kulingana na hali halisi. Hii ni changamoto kubwa kwa taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji kiongozi anayejua kutumia diplomasia na mazungumzo ili kufanikisha malengo yake katika mazingira magumu ya kisiasa nchini Tanzania. Siasa ni mchezo wa compromise. Badala ya kuunganisha, uongozi wa aina hii unachochea mgawanyiko wa ndani, na hili linaweza kudhoofisha chama.
Historia ya kauli za Lissu inaonyesha mwelekeo wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani. Katika siasa za demokrasia, kuna haja ya kueneza ujumbe wa matumaini na mshikamano, badala ya kutumia lugha inayoweza kuleta hofu au vurugu. Kauli zake za mara kwa mara za kukosoa kila hatua ya serikali, hata zile zenye manufaa kwa wananchi, zinaashiria kwamba hana utayari wa kushirikiana kwa maslahi ya taifa. Badala ya kuwa kiongozi anayejenga, anaonekana kama mtu anayebomoa na kukosoa bila kutoa suluhisho mbadala. Alishawahi kutoa kauli nyingi hatari juu ya Muungano, rais wa awamu ya kwanza, mambo ya madini, amewabagaza viongozi wa dini, viongozi wenzake na kila mtu ameonja shuruba yake.
Uongozi radical unakosa uvumilivu wa kisiasa, ambao ni muhimu sana katika taasisi kama CHADEMA inayojaribu kujijenga kwa umoja wa wanachama wake. Rekodi za migogoro ya mara kwa mara ndani ya chama zinaonyesha kwamba Lissu anaweza kuwa sehemu ya matatizo badala ya suluhisho. Uwezo wa kuvumilia mitazamo tofauti na kujenga mwafaka ni kiini cha demokrasia, lakini viongozi wenye hulka za radical mara nyingi hukosa sifa hii.
Kiongozi wa taasisi kama CHADEMA anapaswa kuwa na uwezo wa kuwavutia watu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Uongozi wa Lissu unaelekea kuwa wa kishari na wenye kuwagawa watu kwa misingi ya kiitikadi badala ya kuwaleta pamoja. Hii itakifanya chama kushindwa kupanua wigo wake wa kisiasa na kuvutia wafuasi wapya. Tukifuata matakwa ya Lissu tunaweza kujikuta na chama kinachowavutia wavuta bange na magaidi kama Ntarahamwe ambao wao shari ni chakula chao.
Historia ya siasa za dunia inathibitisha kuwa viongozi radical mara nyingi huishia kuharibu taasisi wanazoongoza. Mfano wa nchi nyingi za Kiafrika unaonyesha kwamba viongozi wa aina hii huishia kushindwa kufanikisha ajenda za maendeleo kwa sababu wanakosa uwezo wa kufikia mwafaka na kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii.
Tundu Lissu, akiwa kiongozi mwenye misimamo mikali hafai kuongoza taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji mshikamano, busara, na diplomasia ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. Ili CHADEMA ipate mafanikio endelevu, inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uwezo wa kujenga na sio kubomoa, mtu mwenye maono ya mshikamano na siyo mgawanyiko. Uongozi wa aina ya Lissu hautaleta mafanikio, bali utahatarisha mustakabali wa chama hicho.
Aidha mbinu anazotumia kuingia madarakani nazo zimejaa hadaa na ghilba. Sumu haionjwi. Nimeandika haya kuwapa wajumbe hadidu za rejea wanapofikiria mtu wa kuongoza Chama chao. Nimeshauri. Msipofuata shauri yenu. Kwa miaka mitano ijayo, Mkimchagua Lissu, CHADEMA itaishi kama digidigi.
Wewe si ndo yule gaidi wa kipindi kile?Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata hivyo, Tundu Lissu, ambaye amekuwa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, ameonyesha mwelekeo wa siasa za msimamo mkali (radicalism) ambao unaleta maswali kuhusu uwezo wake wa kuongoza taasisi ya kisiasa kama CHADEMA kwa mafanikio.
Uongozi radical unajulikana kwa kuwa wa msimamo mkali unaokosa uwezo wa kujadiliana na kufikia maelewano. Lissu mara nyingi ameonyesha kuwa na hulka ya kushikilia msimamo wake hata pale inapohitajika kubadilika kulingana na hali halisi. Hii ni changamoto kubwa kwa taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji kiongozi anayejua kutumia diplomasia na mazungumzo ili kufanikisha malengo yake katika mazingira magumu ya kisiasa nchini Tanzania. Siasa ni mchezo wa compromise. Badala ya kuunganisha, uongozi wa aina hii unachochea mgawanyiko wa ndani, na hili linaweza kudhoofisha chama.
Historia ya kauli za Lissu inaonyesha mwelekeo wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani. Katika siasa za demokrasia, kuna haja ya kueneza ujumbe wa matumaini na mshikamano, badala ya kutumia lugha inayoweza kuleta hofu au vurugu. Kauli zake za mara kwa mara za kukosoa kila hatua ya serikali, hata zile zenye manufaa kwa wananchi, zinaashiria kwamba hana utayari wa kushirikiana kwa maslahi ya taifa. Badala ya kuwa kiongozi anayejenga, anaonekana kama mtu anayebomoa na kukosoa bila kutoa suluhisho mbadala. Alishawahi kutoa kauli nyingi hatari juu ya Muungano, rais wa awamu ya kwanza, mambo ya madini, amewabagaza viongozi wa dini, viongozi wenzake na kila mtu ameonja shuruba yake.
Uongozi radical unakosa uvumilivu wa kisiasa, ambao ni muhimu sana katika taasisi kama CHADEMA inayojaribu kujijenga kwa umoja wa wanachama wake. Rekodi za migogoro ya mara kwa mara ndani ya chama zinaonyesha kwamba Lissu anaweza kuwa sehemu ya matatizo badala ya suluhisho. Uwezo wa kuvumilia mitazamo tofauti na kujenga mwafaka ni kiini cha demokrasia, lakini viongozi wenye hulka za radical mara nyingi hukosa sifa hii.
Kiongozi wa taasisi kama CHADEMA anapaswa kuwa na uwezo wa kuwavutia watu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Uongozi wa Lissu unaelekea kuwa wa kishari na wenye kuwagawa watu kwa misingi ya kiitikadi badala ya kuwaleta pamoja. Hii itakifanya chama kushindwa kupanua wigo wake wa kisiasa na kuvutia wafuasi wapya. Tukifuata matakwa ya Lissu tunaweza kujikuta na chama kinachowavutia wavuta bange na magaidi kama Ntarahamwe ambao wao shari ni chakula chao.
Historia ya siasa za dunia inathibitisha kuwa viongozi radical mara nyingi huishia kuharibu taasisi wanazoongoza. Mfano wa nchi nyingi za Kiafrika unaonyesha kwamba viongozi wa aina hii huishia kushindwa kufanikisha ajenda za maendeleo kwa sababu wanakosa uwezo wa kufikia mwafaka na kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii.
Tundu Lissu, akiwa kiongozi mwenye misimamo mikali hafai kuongoza taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji mshikamano, busara, na diplomasia ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. Ili CHADEMA ipate mafanikio endelevu, inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uwezo wa kujenga na sio kubomoa, mtu mwenye maono ya mshikamano na siyo mgawanyiko. Uongozi wa aina ya Lissu hautaleta mafanikio, bali utahatarisha mustakabali wa chama hicho.
Aidha mbinu anazotumia kuingia madarakani nazo zimejaa hadaa na ghilba. Sumu haionjwi. Nimeandika haya kuwapa wajumbe hadidu za rejea wanapofikiria mtu wa kuongoza Chama chao. Nimeshauri. Msipofuata shauri yenu. Kwa miaka mitano ijayo, Mkimchagua Lissu, CHADEMA itaishi kama digidigi.
Watu mnakumbukumbu sana 😀😀😀.Wewe si ndo yule gaidi wa kipindi kile?
Tanganyika HATUNA NA HATUJAWAHI KUWA NA SIASA ZA KISASA ndio maana tuna kikao cha chama na kinafanyikia ndani ya UKUMBI WA BUNGE.Katika siasa za kisasa, uongozi wa taasisi za kisiasa unahitaji mtu mwenye busara, hekima, na uwezo wa kuunganisha watu wenye mitazamo tofauti kwa ajili ya kufanikisha malengo ya pamoja. Ndiyo maana kwa muda imekuwa ikisemwa sasa CHADEMA ihame kuwa vuguvugu la harakati na kuwa taasisi. Hata hivyo, Tundu Lissu, ambaye amekuwa kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania, ameonyesha mwelekeo wa siasa za msimamo mkali (radicalism) ambao unaleta maswali kuhusu uwezo wake wa kuongoza taasisi ya kisiasa kama CHADEMA kwa mafanikio.
Uongozi radical unajulikana kwa kuwa wa msimamo mkali unaokosa uwezo wa kujadiliana na kufikia maelewano. Lissu mara nyingi ameonyesha kuwa na hulka ya kushikilia msimamo wake hata pale inapohitajika kubadilika kulingana na hali halisi. Hii ni changamoto kubwa kwa taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji kiongozi anayejua kutumia diplomasia na mazungumzo ili kufanikisha malengo yake katika mazingira magumu ya kisiasa nchini Tanzania. Siasa ni mchezo wa compromise. Badala ya kuunganisha, uongozi wa aina hii unachochea mgawanyiko wa ndani, na hili linaweza kudhoofisha chama.
Historia ya kauli za Lissu inaonyesha mwelekeo wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani. Katika siasa za demokrasia, kuna haja ya kueneza ujumbe wa matumaini na mshikamano, badala ya kutumia lugha inayoweza kuleta hofu au vurugu. Kauli zake za mara kwa mara za kukosoa kila hatua ya serikali, hata zile zenye manufaa kwa wananchi, zinaashiria kwamba hana utayari wa kushirikiana kwa maslahi ya taifa. Badala ya kuwa kiongozi anayejenga, anaonekana kama mtu anayebomoa na kukosoa bila kutoa suluhisho mbadala. Alishawahi kutoa kauli nyingi hatari juu ya Muungano, rais wa awamu ya kwanza, mambo ya madini, amewabagaza viongozi wa dini, viongozi wenzake na kila mtu ameonja shuruba yake.
Uongozi radical unakosa uvumilivu wa kisiasa, ambao ni muhimu sana katika taasisi kama CHADEMA inayojaribu kujijenga kwa umoja wa wanachama wake. Rekodi za migogoro ya mara kwa mara ndani ya chama zinaonyesha kwamba Lissu anaweza kuwa sehemu ya matatizo badala ya suluhisho. Uwezo wa kuvumilia mitazamo tofauti na kujenga mwafaka ni kiini cha demokrasia, lakini viongozi wenye hulka za radical mara nyingi hukosa sifa hii.
Kiongozi wa taasisi kama CHADEMA anapaswa kuwa na uwezo wa kuwavutia watu kutoka makundi mbalimbali ya kijamii na kiitikadi. Uongozi wa Lissu unaelekea kuwa wa kishari na wenye kuwagawa watu kwa misingi ya kiitikadi badala ya kuwaleta pamoja. Hii itakifanya chama kushindwa kupanua wigo wake wa kisiasa na kuvutia wafuasi wapya. Tukifuata matakwa ya Lissu tunaweza kujikuta na chama kinachowavutia wavuta bange na magaidi kama Ntarahamwe ambao wao shari ni chakula chao.
Historia ya siasa za dunia inathibitisha kuwa viongozi radical mara nyingi huishia kuharibu taasisi wanazoongoza. Mfano wa nchi nyingi za Kiafrika unaonyesha kwamba viongozi wa aina hii huishia kushindwa kufanikisha ajenda za maendeleo kwa sababu wanakosa uwezo wa kufikia mwafaka na kushirikiana na makundi mbalimbali ya kijamii.
Tundu Lissu, akiwa kiongozi mwenye misimamo mikali hafai kuongoza taasisi kama CHADEMA ambayo inahitaji mshikamano, busara, na diplomasia ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. Ili CHADEMA ipate mafanikio endelevu, inapaswa kuongozwa na mtu mwenye uwezo wa kujenga na sio kubomoa, mtu mwenye maono ya mshikamano na siyo mgawanyiko. Uongozi wa aina ya Lissu hautaleta mafanikio, bali utahatarisha mustakabali wa chama hicho.
Aidha mbinu anazotumia kuingia madarakani nazo zimejaa hadaa na ghilba. Sumu haionjwi. Nimeandika haya kuwapa wajumbe hadidu za rejea wanapofikiria mtu wa kuongoza Chama chao. Nimeshauri. Msipofuata shauri yenu. Kwa miaka mitano ijayo, Mkimchagua Lissu, CHADEMA itaishi kama digidigi.
Mtu mmoja hana athari,Kada wa CCM Peter Msigwa anashauri mchague Lissu. Haya tuap huo ushauri kama ina ubavu