Lissu Hafai ni Radical: Hadidu kwa Wajumbe

SIJUI KWANINI WATANZANIA WENGI NI WAPUMBAVU
 
Uko sahihi kabisa
 
Mambo yote uliyo ongea juu ya Lisu siyo sahihi. Kwanza msimamo mkali maana yake nini. Ingekuwa anamsimamo kali jinsi alivyopigwa Risasi na yeye angahakikisha aliye mpiga Risasi naye anapigwa Risasi. Unajua maana ya msimamo mkali au unajisemea tu. Tundu Lisu hana siasa za kinafiki wala si mla Rushwa. Maisha anayo ishi ni maisha ya kawaida wala si ya Anasa. Ni mshauri mzuri na ni mtu mwenye Akili sana. Lisu anafaa kuwa mwenyekiti CDM
 
Msamehe bure jamaa , ana shida kubwa ya chuki dhidi ya CHADEMA!!
 
Lissu anafaa sana kwa siasa za sasa, hawa ccm sio watu wa kuwachekea ni kuwafosi tu
Kwenye shamba lako la mahindi nyani siku zote wanaomba usiweke mlinzi ama mbwa, uache shamba liwe wazi, na watakuja na sababu nyingi sana kutetea wewe uache shamba liwe wazi , ukifanya hivyo watakusifu sana lakini utaishia kuvuna mabua.
 

Hebu tueleze nchi hii itapaje demokrasia na chaguzi huru kwa huruma ya Mama Abdul? Mbowe kashafanya maongezi yameleta chaguzi au tume huru?

Kwa misingi hiyo msishangae sasa watanzania wanaona ni bora radical
 
"Lissu akipewa chama ndani ya miezi miwili kinamfia,kama yeye mwenyewe hajiwezi kashindwa kutoa milioni 30 kuchangia huu uchaguzi ,mbowe ametoa milioni 300" - Yericko Nyerere
 
Wewe si ndo yule gaidi wa kipindi kile?
 
Tanganyika HATUNA NA HATUJAWAHI KUWA NA SIASA ZA KISASA ndio maana tuna kikao cha chama na kinafanyikia ndani ya UKUMBI WA BUNGE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ