Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Nilikuwa naitzama hii story sasa hivi kwamba mwaka 1969 fighter jet ya North Korea ilifanya shambulizi na kuleta madhara kidogo kwa jeshi la Marekani, Pacific Fleet.
Halafu rais wa Marekani akaamuru shambulizi la nuclear
dhidi ya North Korea.
Halafu Jeshi la Marekani likajitayarisha kufanya nuclear attack on North Korea.
Halafu baadaye amri ikawa withdrawn, uamuzi ukabatilishwa,ikagundulika rais alipotoa amri alikuwa amelewa. In this case ilikuwa rais Nixon .
Sasa Lissu anajitokeza kugombea uenyekiti wa Chama, Wanachadema wengine wamekuwa shocked, wanasema inakuwaje huyu mtu hajui importance of unity?
Yaani hiyo unity lazima iwe kwa uongozi wa Mbowe tu.
Kwa hiyo,let us put things in perspective ama sivyo errors might be committed, political errors.
Indeed nasikia kulikuwa na mpango wa kuwateka nyara wajumbe wasifike kwenye ukumbi kumsikiliza Lissu.
Kwa hiyo let us not stoke the fires of hatred.
Kuwania uenyekiti. Sasa hivi focus iwe katika nafasi ya Mwenyekiti,siyo kuuliza nani atakuwa mgombea urais.
Chadema sasa hivi Iko ICU.
Halafu I wonder if you have noticed what I have noticed.
Very carefully, very deliberately, Chadema hawazungumzii kuhusu kwenda mahakamani kudai viti walivyodhulumiwa.