YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Siasa za Lissu za sasa ni zile zilizopitwa na wakati ambazo akina Maalim Seif walizitumia sana kule Zanzibar zilikuwa zikiitwa siasa za ngangari Hadi kieleweke. Hadi wakaagiza visu na kufanya vitendo vya kigaidi .Mwisho was siku wakaja kugundua kuwa haziwapeleki popote wakaziacha
Sasa Lissu kaziokota kwenye jalala la historia anajiona yeye ndie kamanda. Mkuu wa ngangari aliyeshushwa na Allah kuwangungurisha watanzania!! Ana Messianic lunatism!!
Lissu asome historia ya hiyo mbinu ya ngangari kwanini haokufanikiwa
Pia ajiulize kwanini maandamano ya Mange Kimambi aliyoaitisha na yeye Lisu akasema ataongoza kwa Nini hayakufanikiwa? Kwa Nini wali change direction
Je, anadhani ngangari yake itafanikiwa? Kwa nini Kuna tofauti na ngangari za akina Seif Sharrif Hammad ambako watu walikuwa tayari hata kujitoa muhanga
Ninachokiona Lisu anadhani kugundua kitu kipya ambacho serikali haijawahi kukutana nacho kuwa Ni Mara ya kwanza kutokea!!!
Anyway anajaribu kucopy Let us mwishowe itakuwaje lakini sidhani Kama hata hiyo strategy anatumia Kama aliifanyia analyisis akiwa nawatu waliobobea kwenye political science Kama akina professier Baregu Ange m consult amsaidie
It is just a reminder ythat there is nothing new under the sun