Mleta mada nimekusikiliza kwa kusoma,
Upo sahihi sana,hivi karibuni kuna mchambuzi wa mambo ya siasa na uchumi toka kenya alisema...kama lissu anataka kugain more popularity and powee amuige Mandela, kwa maana ya kwamba asitumie siasa za maneno makali na kushambulia kwa maneno anaodhani walimdhulu. Awe mtulivu, ajikite katika kuangalia mapungufu ya serikali na kueleza mikakato na ilani yao katika kumkwamua mtanzania...
Lakini toka lissu kaanza kupanda majukwaani amekuwa akiongea kwa maneno makali,kushambulia na kushutumu ,na zaidi anategemea huruma ya watu, halafu kuna watu watakuwa tu wanajitokeza kwenye mikusanyiko yake ili wamuone anavyofanana baada ya kupona, na huenda ikawapa imani chadema kuwa watakuwa na wapiga kura wengi,kumbe hakuna,
Lakini pia anguko lingine kwa wapinzani kwenye kiti cha urais, wataenda kugawanaa kura, Membe na Lissu.na wwngine na kumuacha Jiwe akipeta.