Uchaguzi 2020 Lissu hajui historia mbinu anayotumia ya ngangari CUF Zanzibar walishaitumia haikuwafikisha popote

Aliyeshika usukani hapendwi ndani na nje ya chama chake. Ndani ya chama timu Kinana, timu Kikwete, timu Makamba, timu Nape wote hawa wanampa tabasamu la kinafiki tu. Subiri uone atakavyo dondoka.
Kama atapita subiria next yrs uone mchomozo wa Makundi,
 
Aliyeshika usukani hapendwi ndani na nje ya chama chake. Ndani ya chama timu Kinana, timu Kikwete, timu Makamba, timu Nape wote hawa wanampa tabasamu la kinafiki tu. Subiri uone atakavyo dondoka.
Thus aliprint fomu moja kuogopa wajumbe
 
Leo Mkapa hayupo sijui watamtegemea Nani,ccm anga limeshawakataa
 
Jiwe kapatikana Safari hii,hapa amekosekana tu Mtikila Mungu amrehemu hakika watz tusingeonewa na Hawa majahili madhalimu
 
Hivi unadhan mpaka kupatikana SUK chama chakavu walilipenda?endeleen kuweweseka chuma kinarindima
Hapa sio mbinu ilisha tumika Jambo ni haki itendeke ama ionekane inatendeka sii kwa upande lfulani Bali kwa washiriki wote kwa usawa kulingana na kaninu sii tuu zile zilizolenga upande Fulani Bali kwa mujibu wa katiba .
 
Mleta mada nimekusikiliza kwa kusoma,
Upo sahihi sana,hivi karibuni kuna mchambuzi wa mambo ya siasa na uchumi toka kenya alisema...kama lissu anataka kugain more popularity and powee amuige Mandela, kwa maana ya kwamba asitumie siasa za maneno makali na kushambulia kwa maneno anaodhani walimdhulu. Awe mtulivu, ajikite katika kuangalia mapungufu ya serikali na kueleza mikakato na ilani yao katika kumkwamua mtanzania...

Lakini toka lissu kaanza kupanda majukwaani amekuwa akiongea kwa maneno makali,kushambulia na kushutumu ,na zaidi anategemea huruma ya watu, halafu kuna watu watakuwa tu wanajitokeza kwenye mikusanyiko yake ili wamuone anavyofanana baada ya kupona, na huenda ikawapa imani chadema kuwa watakuwa na wapiga kura wengi,kumbe hakuna,

Lakini pia anguko lingine kwa wapinzani kwenye kiti cha urais, wataenda kugawanaa kura, Membe na Lissu.na wwngine na kumuacha Jiwe akipeta.
 
Aliyeshika usukani hapendwi ndani na nje ya chama chake. Ndani ya chama timu Kinana, timu Kikwete, timu Makamba, timu Nape wote hawa wanampa tabasamu la kinafiki tu. Subiri uone atakavyo dondoka.
Mfano kweli akadondoka,hizo team Kinana,Nape,Makamba watafaidi nini nchi ikashikwa na wapinzani wao?,fikiria nje ya box utaliona hili,wao kwa wao watagombani ndani,lakini wakitoka nje wanakua wamoja,mark hii comment
 
ndani,lakini wakitoka nje wanakua wamoja,
Siyo kweli mkuu. Unakumbuka Nape alishikiwa bastola hadharani?
Unakumbuka Kinana ametukanwa na Musiba hadharani?
Unakumbuka Kikwete ametukanwa na Magufuli hadharani kwamba aache kuwashwawashwa?
Yawezekana upo nje ya nchi mkuu huyajui ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…