Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Uko busy Sana na LISSU kuliko hata ulivyo busy na maisha yako! Hebu jipende kidogo, jitoe out, Acha kufuatilia maisha ya Watu, tulia kidogo! Yeah utajua ulimwengu Una Mambo mengine MENGiIngawa maisha ya watz ni mazuri lkn chadema ya Lissu wala hawajui na hawasemi wafanye nini kuondosha umaskini huo