Naomba kujua tu.
Mimi naona kubwa neno reform no election hakuna zaidi ya hapo.
1. Mwanachama wapya walioahidi wanaharakati kwamba chadema itawapata - 0
2. Chadema itakuwa tishio kwa ccm - 0
3. Chadema itakuwa mchaka mchaka - 0
4. Chadema haitakubali kuonewa- katibu wao kapotea kwa Pendo
Mimi naona bora mbowe kuliko Lissu