Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

Wacha kuandika UPUMBAVU wewe!

Huyu ndiye Lissu Mzalendo anayepigania maslahi ya Tanzania na Watanzania

 
Nawasihi ndugu zangu wa Tanganyika, tuhakikishe tunampa kura zetu ndugu yetu Magufuli.
Magufuli atatuhakikishia ndani ya miaka kumi ijayo ya utawala wake , nchi yetu inatoa misaada kwa mataifa ya Ulaya.
 
Faru john alienda wapi?
 
Acheni upuuzi wenu msitufanye wajinga
 
Hebu kwanza tuhakikishie kwamba Lissu aliwatetea wazungu kwenye swala la madini.
Kamuuuulize mwenyeweee atakwambia. Umuuulize, hivi eti wanyoa nywele bila bila maji?? Maaana mikataba ilibadilishwaaa.
Hovyo kweli kweli
 
NIKIKUMBUKA HUYU JAMAA ALIVOPANDISHA MISHIPA YAKE KUWATETEA WAZUNGU WALE WEZI WA MADINI YETU. AKABWABWAJA ETI RAISI AKIGUSIA MIKATABA YA MADINI WAZUNGU WATATUNYOA NYWELE BILA MAJI. HALAFU LEO HUYU HUYU ANATULAZIMISHA TUMPE URAISI, KWELI????
Watu wa Lumumba hakuna mwenye akili ya kumwelewa Tundu Lissu kwa sababu wenye AKILI WOTE wanamfahamu Tundu Lissu alivyo mwimba kwa Wachimba Madini tangia akiwa LEAT awamu ya Mkapa!

Nyie wengine enzi hizo si ajabu mlikuwa vijijini, kwenu hata radio hamna ndo maana hamfahamu hata siku Polisi wa Mkapa walipovamia nyumba ya Tundu Lissu baada ya TL kusimama kidete kufuatia watu waliokuwa wamezikwa hai kwenye migodi!

Moja ya paragraph kutoka website ya protestbarrick.net inasema:-
Wakati Wapumbavu wa Lumumba mnasema TL anawatetea Barrick, ona Barrick hapo walivyokuwa wanam-brand TL!!

Mtandao wa refworld nao unaripoti:
2002 Annual Report kutoka mtandao wa The Observatory for the Protection of Human Rights Defenders / FIDH and OMCT
Human Rights Defenders, sehemu ya ripoti hiyo inasema:-


Wakati Tundu Lissu anakumbana na hayo kwa kuwatetea Watanzania waliokuwa wamezikwa hai na Barrick, Magufuli na Misukule ya CCM yenyewe ilikuwa inagonga meza kuwatetea Barrick kwa kesi ambayo ni:-


Leo mmekuja mjini, na mmeweza kutumia smartphone mnaishia kuongea ujinga kwa sababu hamjui ni namna gani watu wamepambana na hao wezi kutoka Barrick for almost 20 years huku miaka yote wakitetewa na Viumbe wa Lumumba, huku wengine mkiteteana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu tu za kabila.
 
Hayo yote aliyoyafanya Mh.Lissu wanayafahamu sana,wanafikiria Watanzania ni wajinga kupotisha ukweli.Mh.Lissu alianza kupinga udhalimu wa CCM enzi za kuvutia wawekezaji ambapo alipata misukosuko mingi sana na mwisho alishinda yote.Magufuli alikuwa CCM kindakindaki wakati huo hayo yakifanyika na hakuwahi kupinga.
Mh.Lissu ni Rais ajaye wa nchi hii na tunafahamu kuwa Haki itatamalaki hapa Tanzania na Maendeleo ya watu yatapatikana kwa kazi kubwa chini ya CDM.Twende na Lissu 2020-2025.
 
..wakati Tundu Lissu akitetea madini, Jpm alikuwa busy kuuza nyumba za serikali kifisadi.
 
Mkuu JK,

Amini usiamini Wafuasi wa Jiwe hakuna wanachojua!!!

Binafsi nimeanza kumfahamu Tundu Lissu kabla hata ya Mbowe!!! Nimeanza kumfahamu Tundu Lissu kabla ya anyone waliopo CHADEMA hivi sasa... nakumbuka wakati ule nikiwa a very young boy nilivyokuwa namu-admire TL na kujiuliza huyu jamaa "mbona haogopi"!!

Nakumbuka alivyokuwa anapambana na African Barrick Gold waliokuwa wanatetewa na ma-CCM ya serikali ya Mkapa!

Struggle za Tundu Lissu against African Barrick Gold zilibisha hodi hadi Canada, makao makuu ya African Barrick Gold!

Hawa mburula wa sasa, wengine enzi hizo walikuwa bado wapo kwenye matumbo ya mama zao na bado wavivu kusoma historia lakini hata wale waliokuwa wakubwa wengi walikuwa shamba huko na wala hawajui kilichokuwa kinaendelea mjini!!
 
Unamshambulia Lissu ndio maana hupewi maksi zozote kwenye uzi huu, jaribu kusoma alama za nyakati.
Anashambulia kwa point dhaifu, jamani kabla ya kuandika thread tuwe tunatuliza akili, vinginevyo subiri u comment kwa wengine(ushauri kwake)
 
Mleta mada wewe na wenzio wenye uchungu mwingi mwende mkazae,yaishe.
 
I I bow down for you...RESPECT.
Kabla mtu hajaandika kitu kuhusu Lissu,anapaswa kuwa na concrete facts na pia aelewe anachoandika.
Mtu akisema Lissu alitetea aporwaji wa dhahabu,unakuwa unajua tayari unaongea au unapewa hoja na mtu mwenye uhaba wa taarifa(less informed)
 
Bila shaka shuleni ulisomea ujinga na upumbavu!
 
Nilisikiaga hata ile ndege yetu mpya iliyokamatwa Canada yeye ndio aliye ichomea
 


Ni kweli Lissu hana uchungu na nchi hii , wenye uchungu ni hawa akina Marehemu Mkapa aliyechukuwa mashamba ya watu na kujimilikisha ekari 60 000 pamoja na Mwinyi aliyechukuwa mashamba ya watu akajimilikisha zaidi ya ekari 60 000 yeye na familia yake , pia huyu Magu fool aliyejijengea uwanja wa ndege wake kule Chato ili ndege yake ifike huko na akajiwekea mbuga na mahoteli yake kule Chato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…