Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

Magufuli aliyejenga uwanja wa ndege kijijini kwake Chato kwa hela za walipakodi tena kwa kampuni yake ndo anauchungu na rasilimali za nchi hii sio?????

Kakojoe ukalale kilaza wa lumumba wewe!!!
 

KATIKA WATU WASIOFAA KATIKA NCHI HII NI LISSU. YEYE ANAONA KATIKA NCHI HII ANAYEJUA KILA KITU NI YEYE. BENKI YA DUNIA ILIPOSEMA TZ IMEINGIA UCHUMI WA KATI, LISSU ALIPINGA AKASEMA MABEBERU WANATUDANGANYA HAWANA NIA NJEMA NA SISI. LKN LEO KWENYE KAMPENI ZAKE ANATETEA HAO HAO MABEBERU. HAFAI KABISA MAANA ANACHOKISEMA LEO KESHO ANAGEUKA NA KUPONDA. ALITUKANA SANA AKINA LOWASA KUWA NI MAFISADI AMBAO HAWASFISHIKI, BAADAE AKASEMA WANAFAA KUWA RAIS. ALIMTUKANA SANA BABA WA TAIFA, LEO ANATUMIA NUKUU YAKE MOJA KUHALALISHA MADAI YAKE YA UONGO. VYOTE WALIVYOKUWA WANAVILALAMIKIA KIKWETE AKIWA MADARAKANI, MAGUFULI AMETEKELEZA LKN YEYE AMEISHAGEUKA NA KUVIONA NI TAKATAKA.
ANAHAMASISHA VURUGU NCHI HII ISITAWALIKE, JE, YEYE AKIWA MADARAKANI ATAPENDA KUONGOZA NCHI YENYE VURUGU? HIVI CCM WAKISEMA WAINGIE BARABARANI CHADEMA ITAWEZA KUTAWALA NCHI HII? HAYO YOTE ANAYOSEMA HAWEZI KUYAFANYA. ANATAKIWA ATOE SERA WATU WAMCHAGUE KWA SERA. SIO KULAZIMISHA WATU WAMCHAGUE KWA VITISHO. HAJUI VITISHO NDO VITAMNYIMA KURA? WATANZANIA HAWATAKI SHARI, UKIONEKANA UNA SHARI WANAKUCHINJIA BAHARINI.
 
Hatuko tayari kupereka ikulu kinaraka wa wazunguu.
 
mwaka huu mmekanatwa ......hoja za kijima kwelikweli!
 
Deni la taifa mpaka sasa ni sh? na alikuta ni sh? tawala zilizopita tulizoea kushirikishwa/ kuambiwa deni la taifa ni sh kadhaa lkn kwa hawamu hii kwann mnaficha?
 
Nawasihi ndugu zangu wa Tanganyika, tuhakikishe tunampa kura zetu ndugu yetu Magufuli.
Magufuli atatuhakikishia ndani ya miaka kumi ijayo ya utawala wake , nchi yetu inatoa misaada kwa mataifa ya Ulaya.
Ukiona mtu anamshabikia bwana yule jua ana maslahi binafsi.
 
NIKIKUMBUKA HUYU JAMAA ALIVOPANDISHA MISHIPA YAKE KUWATETEA WAZUNGU WALE WEZI WA MADINI YETU. AKABWABWAJA ETI RAISI AKIGUSIA MIKATABA YA MADINI WAZUNGU WATATUNYOA NYWELE BILA MAJI. HALAFU LEO HUYU HUYU ANATULAZIMISHA TUMPE URAISI, KWELI????
Wewe ni "ngumbaru" maana hujiulizi ni akina nani waliisaini hiyo mikataba na wakiwa chini ya mwamvuli wa Chama gani...!!?
 
Kumbu hukimsifia Lissu unapewa Maksi hahahaha kwa kipi sasa alichowahi kuifanyia Tanzania Asimame Aseme Kama Matanzania Kaifanyia nini Nchi yake unpataje Maksi kwa kusema uwongo kueneza chukiii
Unatakiwa ujibiwe ivi ....
Labda utaelewa

1) Lissu na Chama chake hawajawahi kuingia mkataba wowote uwe wa madini au kitu chochote hapa nchini, bali ni CCM na wapambe wake kama wewe hapo ndo mmetufikisha hapa tulipo leo ambapo ni miaka 59 ya uhuru. (WACHUMIA TUMBO)

2) Huduma duni za kijamii kama vile;

(a) Maji,
(b) Elimu
(c) Afya
(d) Ajira, nk.

Vyote hivi imekuwa ni sera ya ndani ya Chama cha CCM ikitumika kama mtaji wao katika chaguzi kama hizi.

Sasa basi, aliye lala kaamka tukutane 28/10.
 
Hatuko tayari kupereka ikulu kinaraka wa wazunguu.
Hata kuandika kwa Kiswahili fasaha hujui, eti "kupereka"... typical Jiwe Supporter!

Sasa ikiwa hata kuandika tu hujui, ndo utaweza kumwelewa mtu kama TL!! Ndo utakuwa na uwezo wa kutafuta habari tofauti na zile mnazolishwa na akina Polepole!!
 
Kumbu hukimsifia Lissu unapewa Maksi hahahaha kwa kipi sasa alichowahi kuifanyia Tanzania Asimame Aseme Kama Matanzania Kaifanyia nini Nchi yake unpataje Maksi kwa kusema uwongo kueneza chukiii
Ukitoa kile anachokifanya kupitia kodi zetu, fursa ambayo Tundu Lissu hajawahi kupewa, Jiwe kaifanyia nini Tanzania?! PhD yake ya maganda ya korosho imeleta tija gani nchi hii?!
 
NIKIKUMBUKA HUYU JAMAA ALIVOPANDISHA MISHIPA YAKE KUWATETEA WAZUNGU WALE WEZI WA MADINI YETU. AKABWABWAJA ETI RAISI AKIGUSIA MIKATABA YA MADINI WAZUNGU WATATUNYOA NYWELE BILA MAJI. HALAFU LEO HUYU HUYU ANATULAZIMISHA TUMPE URAISI, KWELI????
Huyu ndiye mtetezi wa madini yetu kabla hata hujazaliwa.
Mkapa alimfunga kisa akipigania madini na mikataba mibovu
 
Mwizi wa tilioni 1.5 , aliyeuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa , aliyenunua kivuko kibovu , aliyenunua ndege used , aliyepunguza upana wa barabara ili aibe hela ndio ana uchungu na raslimali za nchi .
 
Huu ujinga ulioandika hata wanaccm hakukuungi mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…