Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #101
Mimi ni mkulima na kilimo ndio shughuli yangu. Vipi lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?Mtu na akili zako timamu huwezi shinda humu unaandika takataka toka asubuhi hadi jioni kama hulipwi.
Kumharibia Mbowe ni dhamira yenu au imetokana na uwezo wenu wa kufikia mwisho wa kufikiri?Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu
Lissu hawezi kamwe na katu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA.hata yeye mwenyewe analijua hilo.Kumharibia Mbowe ni dhamira yenu au imetokana na uwezo wenu wa kufikia mwisho wa kufikiri?
Lissu, awe hafai, au awe anafaa, amejengwa sana na maneno yenu, ambayo mnafikiri yanambomoa, kumbe ni kinyume chake.
Mmemdhalilisha sana Freeman Mbowe
Mbona wewe huwezi kuongoza hata mtaa wa nyumba 10.Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe na Lissu tu.Haya,sasa shika jembe ukapalilie.Ndugu zangu Watanzania,

π€£ π€£ π€£Mimi ni msema kweli
π€£ π€£ π€£Embu acha ukichaa hapa. huyo lissu si aligombea Urais? Si alikataliwa na watanzania? Ni kipi anachoweza zaidi ya Uropokaji na ukurupukaji wake.
Mimi naweza kuiongoza Hata MarekaniMbona wewe huwezi kuongoza hata mtaa wa nyumba 10.
Naendelea na kilimo vyema kabisa ili watu wa mjini msife na njaa.Wewe na Lissu tu.Haya,sasa shika jembe ukapalilie.
π€οΈπββοΈβοΈπ―πππCcm kwanini mnamuogopa Lissu? chadema ikifa kwa mdomo wa Lissu wewe si ndio furaha yako ?kutakuwa hakuna haja ya kuiba kura tena
Sawa.Unauza mkungu wa matoke shilingi ngapi unitumie minne hapa Idodomya?Naendelea na kilimo vyema kabisa ili watu wa mjini msife na njaa.
Unataka ujue njia za mwanaume mwenzako za kumuingizia kipato chake ..? Wewe ni namlaka ..? Wewe n mke wakeMimi ni mkulima na kilimo ndio shughuli yangu. Vipi lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?
Akiamua kuchukua Hongo za CCM kama afanyavyo mwenyekiti Nguli FAM basi chama kitaendelea kuwepo tu.Ndugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha mihemko ndugu yangu.... Kwan kabla ya apo hakuna kiongozii ..na kama hawezi wange muamin kumpa nafasi ya kugombea uraisi ... think before you talkNdugu zangu Watanzania,
Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.
Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.
CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.
Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.
Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.
Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Silimi ndizi mimi.ukitaka ndizi nenda Tukuyu.Sawa.Unauza mkungu wa matoke shilingi ngapi unitumie minne hapa Idodomya?
Ndizi hazilimwi.Migomba nayo hulimi?Silimi ndizi mimi.ukitaka ndizi nenda Tukuyu.
Acha mihemko ndugu yangu.... Kwan kabla ya apo hakuna kiongozii ..na kama hawezi wange muamin kumpa nafasi ya kugombea uraisi ... think before you talk
πππππ Sasa unategemea nini ukiweka fenesi na Ndafu ya mbuzi watu wachague fenesi? Haipo hiyo. Hakuna mjinga wa kuacha ndafu achague dawa ya kuharisha.Embu acha ukichaa hapa. huyo lissu si aligombea Urais? Si alikataliwa na watanzania? Ni kipi anachoweza zaidi ya Uropokaji na ukurupukaji wake.
Ushaanza uchawa wa Upande wa Piliπ€£, mwaka huu mtakufa vifo mikundu ikielekea mawinguni.Kila mwana CHADEMA mwenye akili Timamu na anayejitambua anatambua ya kuwa ni Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Mbowe ndiye mwenye uwezo wa kuiongoza CHADEMA kwa sasa akisaidiwa kwa karibu na Mheshimiwa Wenje.
Unalima mauchawaSilimi ndizi mimi.ukitaka ndizi nenda Tukuyu.