Lissu hana uwezo wa kuiongoza CHADEMA hata kwa mwezi mmoja tu. Ataipasua na kuigawa kwa mdomo wake usio na breki

Ndugu zangu Watanzania,

Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.

Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.

CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.

Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.

Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.

Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu
Kumharibia Mbowe ni dhamira yenu au imetokana na uwezo wenu wa kufikia mwisho wa kufikiri?
Lissu, awe hafai, au awe anafaa, amejengwa sana na maneno yenu, ambayo mnafikiri yanambomoa, kumbe ni kinyume chake.
Mmemdhalilisha sana Freeman Mbowe
 
Lissu hawezi kamwe na katu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA.hata yeye mwenyewe analijua hilo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio.

Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini.Mwenye utulivu wa akili na umakini,mwenye kujua wakati gani azungumze na wakati gani awe na subira, mwenye kujua kipi kizungumzwe kwenye vikao na kipi kisubiri wakati muafaka.

CHADEMA haihitaji Mtu aina ya lissu kuwa Mwenyekiti wake kwa sababu huyu mtu ni Mropokaji, mkurupukaji,mwenye Mihemuko,asiye na breki ya mdomo wala subira wala uvumilivu. Huyu lissu ukimpa chama hata kwa mwezi mmoja tu ataacha amekipasua,kukigawa ,kukivuruga na kukisambaratisha kwa mdomo wake.

Atatoa matamko yenye kuleta na kuchochea taharuki ,ubaguzi na hisia za kutengwa kwa baadhi ya wanachama.atapandikiza chuki kubwa sana kwa chama.mpaka kuisha kwa Mwezi mmoja atakuwa amekisambaratisha chama na hakutakuwa na umoja wa chama.

Chama kitagawanyika mapande mapande na kila mtu atakuwa msemaji wa chama na kila mtu atakuwa anafyatuka kivyake kwenye camera na vyombo vya habari.chama kitakosa nidhamu na utaratibu na hakutakuwa na wa kumheshimu wala kumsikiliza mwenzake.

Wana CHADEMA ni uamuzi wenu kusuka au kunyoa. Mkimchagua lissu mjue kuwa mmekiua na kukichimbia kaburi chama.Lissu hana uwezo wala hastahili kuongoza chama kama CHADEMA.Lissu ni wa kuongozwa na siyo kuwa mtu wa mwisho juu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona wewe huwezi kuongoza hata mtaa wa nyumba 10.
 
Wewe na Lissu tu.Haya,sasa shika jembe ukapalilie.
 
Akiamua kuchukua Hongo za CCM kama afanyavyo mwenyekiti Nguli FAM basi chama kitaendelea kuwepo tu.
 
Acha mihemko ndugu yangu.... Kwan kabla ya apo hakuna kiongozii ..na kama hawezi wange muamin kumpa nafasi ya kugombea uraisi ... think before you talk
 
Screenshot_20241219-190341_1.jpg
 
Embu acha ukichaa hapa. huyo lissu si aligombea Urais? Si alikataliwa na watanzania? Ni kipi anachoweza zaidi ya Uropokaji na ukurupukaji wake.
😂😂😂😂😂 Sasa unategemea nini ukiweka fenesi na Ndafu ya mbuzi watu wachague fenesi? Haipo hiyo. Hakuna mjinga wa kuacha ndafu achague dawa ya kuharisha.

Round hii tunaletewa Baskeli ya miti vs. Honda CBR ili tuone kama kuna mjinga wa kuchagua baskeli ya mti aache super bike
 
Kila mwana CHADEMA mwenye akili Timamu na anayejitambua anatambua ya kuwa ni Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Mbowe ndiye mwenye uwezo wa kuiongoza CHADEMA kwa sasa akisaidiwa kwa karibu na Mheshimiwa Wenje.
Ushaanza uchawa wa Upande wa Pili🤣, mwaka huu mtakufa vifo mikundu ikielekea mawinguni.
 
Back
Top Bottom