Lissu: Hatutakiwi kuruhusu ukuwadi wa Nchi yetu, Tunapaswa kuhoji mikataba ya Rasilimali zetu imeandikwa nini

Ndugai alipaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tangu mwanzo .

Samia anataka kui-ARABISHA nchi yetu.
Si wewe ulikuwa unaongoza kukata viuno humu kwamba Ndugai ni sukuma gang imekomeshwa?
 
Mwambukusi anahitaji sapoti kubwa kutoka kwa watanzani woote,Niwaambie ukweli,nchi yetu inahitaji viongozi sampuli ya mwambukusi.ukimtazama harakaharaka ni kama utaona mtu furani mbabe au mkorofi.mwambukusi ana kaumagufuli furani hivi.
Kwa namna wananchi walishawekwa kibra kwa miongo kadhaa, harakati za mwabukusi haziwezi leta matokeo kwa sabab ni zile zile kama mrema, slaa, lisu, .....za kutegemea nguvu ya umma. Umma wenyewe sasa!
Kwa tulipofikia ni kupata kiongozi wa kutumia mbinu ya uasi alafu wachache waelewa watamwezesha.
Mapinduzi ya West Africa yanatufundisha raia huja baadae.
 

Attachments

  • Screenshot_20231205-221105_Instagram.jpg
    284.2 KB · Views: 2
Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.
 
Ndugai alipaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tangu mwanzo .

Samia anataka kui-ARABISHA nchi yetu.
Imasemekana akiekuwa Katibu Muhtasi wa Ndugai alihamia kwa Comrade Chongolo, Miaka michache iliyopita alikuwa ndie pia Katibu Muhtasi wa Kamanda Mnyika wakati Majina ya kina Kamanda Mdee yanaidhinishwa kupelekwa Tume ya Uchaguzi


Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Duuh! Huyu katibu muhtasi atakuwa ni mole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…