Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Lissu ni tunu ya taifa hili na huu ni ukweli ambao ccm hawautaki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakili Msomi Mwabukusi ni baraka kwa Taifa letuMwambukusi anahitaji sapoti kubwa kutoka kwa watanzani woote,Niwaambie ukweli,nchi yetu inahitaji viongozi sampuli ya mwambukusi.ukimtazama harakaharaka ni kama utaona mtu furani mbabe au mkorofi.mwambukusi ana kaumagufuli furani hivi.
Si wewe ulikuwa unaongoza kukata viuno humu kwamba Ndugai ni sukuma gang imekomeshwa?Ndugai alipaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tangu mwanzo .
Samia anataka kui-ARABISHA nchi yetu.
Kwa namna wananchi walishawekwa kibra kwa miongo kadhaa, harakati za mwabukusi haziwezi leta matokeo kwa sabab ni zile zile kama mrema, slaa, lisu, .....za kutegemea nguvu ya umma. Umma wenyewe sasa!Mwambukusi anahitaji sapoti kubwa kutoka kwa watanzani woote,Niwaambie ukweli,nchi yetu inahitaji viongozi sampuli ya mwambukusi.ukimtazama harakaharaka ni kama utaona mtu furani mbabe au mkorofi.mwambukusi ana kaumagufuli furani hivi.
Mbona n rais tangu 2021Samia hajawahi kuwa rais wa Tanzania,na hatawahi kuwa rais wa Tanzania,huyu hana sifa hata chamber za kuwa rais.
Umeelewa mada ?Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.
Mpuuzi ni wewe na ukoo wako woteUzi wa kipuuzi kabisa huu, Hon. Samiah ndiye rais mpaka 2030.
=====================
Wewe je, umeelewa alichosema Dr Janabi?!!!Umeelewa mada ?
Imasemekana akiekuwa Katibu Muhtasi wa Ndugai alihamia kwa Comrade Chongolo, Miaka michache iliyopita alikuwa ndie pia Katibu Muhtasi wa Kamanda Mnyika wakati Majina ya kina Kamanda Mdee yanaidhinishwa kupelekwa Tume ya UchaguziNdugai alipaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tangu mwanzo .
Samia anataka kui-ARABISHA nchi yetu.
Duuh! Huyu katibu muhtasi atakuwa ni mole.Imasemekana akiekuwa Katibu Muhtasi wa Ndugai alihamia kwa Comrade Chongolo, Miaka michache iliyopita alikuwa ndie pia Katibu Muhtasi wa Kamanda Mnyika wakati Majina ya kina Kamanda Mdee yanaidhinishwa kupelekwa Tume ya Uchaguzi
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app