Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani.
Kwa ninavyoona, Waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali za kila siku, kama kulikuwa na tishio la uhaini kwa namna yoyote ile ikiwemo nia au tendo la kuitisha serikali ni lazima aeleze hiyo serikali iliathirika vipi.
Na pia Rais ndo mkuu wa nchi, lazima ana ufahamu au uelewa wa serikali anayoingoza iliathirika vipi na nia ya mwenye kuitisha.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria japo utaratibu wa kuwajibika kisheria unaweza kutofautiana.
Lissu inabidi aukatie rufaa mahakama ya rufaa uamuzi huu mdogo, la sivyo utaweka precedence ya impunity kwa watu wenye nyadhifa hizi kutofika mahakamani kutoa ushahidi muhimu.