Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Itakuwa anapoteza muda tu, uamuzi wa hukumu ya hii kesi tayari umeshawafanyika. Wa kumuokoa Lissu kwa sasa ni raia tu.Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani.
Kwa ninavyoona, Waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali za kila siku, kama kulikuwa na tishio la uhaini kwa namna yoyote ile ikiwemo nia au tendo la kuitisha serikali ni lazima aeleze hiyo serikali iliathirika vipi.
Na pia Rais ndo mkuu wa nchi, lazima ana ufahamu au uelewa wa serikali anayoingoza iliathirika vipi na nia ya mwenye kuitisha.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria japo utaratibu wa kuwajibika kisheria unaweza kutofautiana.
Lissu inabidi aukatie rufaa mahakama ya rufaa uamuzi huu mdogo, la sivyo utaweka precedence ya impunity kwa watu wenye nyadhifa hizi kutofika mahakamani kutoa ushahidi muhimu.
ok.🐒Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani.
Kwa ninavyoona, Waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali za kila siku, kama kulikuwa na tishio la uhaini kwa namna yoyote ile ikiwemo nia au tendo la kuitisha serikali ni lazima aeleze hiyo serikali iliathirika vipi.
Na pia Rais ndo mkuu wa nchi, lazima ana ufahamu au uelewa wa serikali anayoingoza iliathirika vipi na nia ya mwenye kuitisha.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria japo utaratibu wa kuwajibika kisheria unaweza kutofautiana.
Lissu inabidi aukatie rufaa mahakama ya rufaa uamuzi huu mdogo, la sivyo utaweka precedence ya impunity kwa watu wenye nyadhifa hizi kutofika mahakamani kutoa ushahidi muhimu.
ukipanga mipango na msukuma unajua kabisa hapa napanga mipango na mwanaume mwenzangu...Udhaifu wao mkubwa ni wanawake, anaweza kuhonga hata nyumba kmmke...
Mbona Mahakama imefafanua vizuri tu! Sio jukumu la upande wa utetezi kumtaka victim kueleza jinsi alivyoathirika.Kwa ninavyoona, Waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali za kila siku, kama kulikuwa na tishio la uhaini kwa namna yoyote ile ikiwemo nia au tendo la kuitisha serikali ni lazima aeleze hiyo serikali iliathirika vipi.
Mbona Mahakama imefafanua vizuri tu! Sio jukumu la upande wa utetezi kumtaka victim kueleza jinsi alivyoathirika.
Badala yake, hiyo ni kazi ya upande wa mashtaka kuthibitisha victim alivyoathirika. So, kama ni kuwaita akina former PM upande wa utetezi ndio ungefanya hivyo na sio mtuhumiwa.
... ninalalamika wewe umenipiga ngumi halafu wewe huyo huyo unitake nikueleze nilivyoathirika au nithibitishe hujanipiga ngumi. Haiko hivyo!
Uamuzi mdogo ambao haumalizi kesi ya msingi haukatiwi rufaa Chief
Mbona CDF, IGP na DCI imewezekana? Au wanasiasa wao wana kinga, ila viongozi wa vyombo vya usalama wao hawana kinga?Mbona Mahakama imefafanua vizuri tu! Sio jukumu la upande wa utetezi kumtaka victim kueleza jinsi alivyoathirika.
Badala yake, hiyo ni kazi ya upande wa mashtaka kuthibitisha victim alivyoathirika. So, kama ni kuwaita akina former PM upande wa utetezi ndio ungefanya hivyo na sio mtuhumiwa.
Hata mimi kwa hili namshauri afanye hivyo kwa maana akina Heche, Mnyika, Golugwa na Brenda Rupia utetezi haujamsaidia hata kidogo zaidi ya kumuangamiza!Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu.
Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani.
Kwa ninavyoona, Waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikali za kila siku, kama kulikuwa na tishio la uhaini kwa namna yoyote ile ikiwemo nia au tendo la kuitisha serikali ni lazima aeleze hiyo serikali iliathirika vipi.
Na pia Rais ndo mkuu wa nchi, lazima ana ufahamu au uelewa wa serikali anayoingoza iliathirika vipi na nia ya mwenye kuitisha.
Hakuna mtu aliye juu ya sheria japo utaratibu wa kuwajibika kisheria unaweza kutofautiana.
Lissu inabidi aukatie rufaa mahakama ya rufaa uamuzi huu mdogo, la sivyo utaweka precedence ya impunity kwa watu wenye nyadhifa hizi kutofika mahakamani kutoa ushahidi muhimu.
Kesi ikizidi kuchelewa inawatia wao ktk situation ya kuonekana watesi na wabaya zaidiHii kesi ina adhabu mbili kama akipatikana na hatia, kifo au kifungo cha maisha.
Ni haki yake kupewa mashahidi wote anaowataka ilq yuko mtegoni akikata rufaa wanaweza kupata sababu ya kuchelewesha kesi.
Lazima nikuhoji. Pengine umenifananisha na si mimi niliyekupiga.... ninalalamika wewe umenipiga ngumi halafu wewe huyo huyo unitake nikueleze nilivyoathirika au nithibitishe hujanipiga ngumi. Haiko hivyo!