Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wameitoa wapi?Hivi ile asilimia 85 ya ushindi ni kweli?.
Kura zimepigwa lini?Hivi ile asilimia 85 ya ushindi ni kweli?.
Huyu mtu akipata tena hii miaka mitano hatoki ng'oo leo kasema Urais kapewa na mungu.
Wanajidai na kura za JAMANA halafu wanasingizia Urais wamepewa na MUNGU.Kura zimepigwa lini?
Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao.
Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia watanzania.
Miaka mitano wafanyakazi hawajaongezwa mishahara,lakini walikuwa hawana wa kuwasemea,wewe umeongea
Umegusia suala la ajira,tayari ajira za kuwadanganya watanzania zimetangazwa,nafasi 13000 za walimu. Je sekta zingine?
Umesema mengi,kubwa kabisa ni kufa kwa sekta binafsi,maana kandarasi nyingi zinafanya na serikali na wachina,watu wengi kampuni zao zimekufa na ajira nyingi zimekufa.
Hata kama hautashinda urais Mungu atakulipa kwa kuwasemea watanzania shida zao.
Siti ya mbele hapa nangoja comments tuu hapa
Unataka uje na gia ya kusema amwachie meko?
Hahahahahahaha nalijua hilo boga. Linadhani sie wageni humu, sie twajuana wenye akili , na wao vilaza wa Lumumba twawajuaBora umemstukia huyo mtoto mleta uzi maana ni mpuuzi wa kiwango cha juu. Huo uzi ni kutaka kuwachota cdm mawazo kwa kujifanya yuko cdm. Subiri baada ya nusu saa utaona utumbo atakaoongea hapa. Mimi nimeshamjua hivyo namchomekea disc mbovu tu.
Lissu atapata kura nyingi kutoka CCM pia wengi wamechokaBora umemstukia huyo mtoto mleta uzi maana ni mpuuzi wa kiwango cha juu. Huo uzi ni kutaka kuwachota cdm mawazo kwa kujifanya yuko cdm. Subiri baada ya nusu saa utaona utumbo atakaoongea hapa. Mimi nimeshamjua hivyo namchomekea disc mbovu tu.
Hayo ni mawazo yako mgando,ukweli ni kuwa Lissu amewasemea watanzania.Bora umemstukia huyo mtoto mleta uzi maana ni mpuuzi wa kiwango cha juu. Huo uzi ni kutaka kuwachota cdm mawazo kwa kujifanya yuko cdm. Subiri baada ya nusu saa utaona utumbo atakaoongea hapa. Mimi nimeshamjua hivyo namchomekea disc mbovu tu.