Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Itajupikana tu"....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe."
"...hivi ninavyozungumza, mwamba hamwamini hata Katibu Mkuu wake akihofu huenda ni timu Tundu."
Duru.
Hivi wote si washatia nia, cheo cha mwenyekiti na makamu bado vipo hai mpaka leo?"....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe."
"...hivi ninavyozungumza, mwamba hamwamini hata Katibu Mkuu wake akihofu huenda ni timu Tundu."
Duru.
Wapumbavu wa CCM katika ubora wao"....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe."
"...hivi ninavyozungumza, mwamba hamwamini hata Katibu Mkuu wake akihofu huenda ni timu Tundu."
Duru.
Awamu hii tuta mtimua Mbowe bila huruma kwa box. Mbowe na m7 wote wajinga wana mawazo sawa"....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe."
"...hivi ninavyozungumza, mwamba hamwamini hata Katibu Mkuu wake akihofu huenda ni timu Tundu."
Duru.
Kwa katiba ya Tanzania rais aliye madarakani akigombea anakuwa na mamlaka yake ya urais, na ndiye anayemua matokeo ya uchaguzi yaweje.Huwezi kuwa mgombea ukawa na mamlaka tena.
kwa sasa mbowe apumzike kwa amaniAlikuwa anasema ni Diaspora tu ndio hawampendi lakini hadi jana kakataliwa na CHADEMA Mikoa yote.
View: https://youtu.be/FYiaufRgxvw?si=cuXyrc_jMU6HIn7u
Moja ya flaw mbaya sana kwenye katiba yetuKwa katiba ya Tanzania rais aliye madarakani akigombea anakuwa na mamlaka yake ya urais, na ndiye anayemua matokeo ya uchaguzi yaweje.
Tupo tunaona na kusikia
Ni ushauri mzuri mzuri sana.kwa sasa mbowe apumzike kwa amani