ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Lissu kulingana na ujasiri aliobarikiwa na Mungu pamoja na uzoefu wake mkubwa wa kushughulika na migogoro mbalimbali nchini ikiwemo wa Kuwaondoa Wamasai wa ngorongoro katika eneo lao la asili ingempa kete ya juu katika mkutano wa usuluishi wa mgogoro wa Congo uliotoka kumalizika siku hizi karibuni.
Uwezo mkubwa wa Lissu kujenga hoja na kutetea hoja kutoka kichwani , na uwezo wake mkubwa wa public speaking ,ungeweza kufanya mkutano wa SADC na EAC kuwa wa matokeo chanya na si Ceremonial kama ulivyokuwa.
Pia mkutano huu ulikuwa umejaa unafiki mkubwa kwani Marais wamekuwa wakiogopana kuambiana ukweli, na inaonesha karibia wote wanamuogopa General Kagame.
Nyerere na Mkapa walikuwa Wana ujuzi mkubwa sana katika usuluhishi wa migogoro hii, na wote walikuwa na character kama ya Lissu, japo JK naye alijaribu Kidogo.
Kwa mkutano huu, Suluhu ya Mgogoro wa Congo haijapatikana na Wala njia hamna, imekuwa ni kama kikao Cha stori na kufunga bara bara Kwa Muda