Lissu kama unataka urais, badilisha unyoaji wa nywele sasa

Lissu kama unataka urais, badilisha unyoaji wa nywele sasa

Mungu ndo anajua kesho ya mwana damu na sio ww punguani.

Hivi mwaka 2020 kulikuwa na mtu ambaye alikuwa hata anawaza kuwa kufikia 2023 Jiwe atakuwa kaburini analiwa na funza na kuwaacha wafuasi wake wakitapatapa kama vifaranga vilivyo fiwa na mama yao?

Atakaye amuwa hatima ya maisha ya Lisu ni mungu tu na ndo anajua kesho yake na sio ww.
Lissu hata kupewa nafasi apeperushe tena bendela hapewi
 
Mungu ndo anajua kesho ya mwana damu na sio ww punguani.

Hivi mwaka 2020 kulikuwa na mtu ambaye alikuwa hata anawaza kuwa kufikia 2023 Jiwe atakuwa kaburini analiwa na funza na kuwaacha wafuasi wake wakitapatapa kama vifaranga vilivyo fiwa na mama yao?

Atakaye amuwa hatima ya maisha ya Lisu ni mungu tu na ndo anajua kesho yake na sio ww.
Hivi wamachame mnamatatizo gani kichwani,sasa matusi yote ya nini wakati umeulizwa swali moja tu,na kama unasema hakuna anayejua kesho yake mbona ww unamshambulia aliyekaburini wakati wewe upo juu unatembea,wa ushaijua kesho yako?
 
Huyu ni mwanasiasa ambaye kwangu Mimi ana sifa karibu zote za mtu kuwa Rais. Haidhuru ningekuwa mzungu ningesema, He is potentially presidential material.

Ana maono( vision) kiu ya kufanya mambo yatokee. ( Desire to Delivery), ana fikra thabiti (logic), ana ushawishi (influence), Haiba( presentableness), ana uelewa mtambuka ( exposure) na ni msomi.(enlightened)

Jambo Moja tu ambalo akilibadilisha , Kwa macho ya utambuzi, ni aina yake ya unyoaji wa nywele.

View attachment 2490339

Aina ya unyoaji wake wa nywele siyo presidential kabisa.

Madaraka ya urais yanakupa majukumu ya kuwa alama ya nchi. Ebu nambie mnyoo wa pank, Tena pank la Lissu la kuchimba, imekaaje hiyo?

Kwa kuwa Lissu ni potential presidential candidate hapa mbele, aanze kufanyia kazi unyoaji wake.

Je nina shida na mnyoo wa pank, ? Hapana kimsingi. Kwa maana hiyo, nina shida linapokuja tu suala la mtu anayetaka kuwa kiongozi wetu.

Kaptura ya jioni wakati wa kupunga hewa inaweza isiwe shida kwa mtu mwingine yeyote.
Lakini vipi akiivaa shehe au mchungaji na atembee nayo katikakati ya mji? Hiyo itaitwa taboo.

Maana yake ni nini? Everything can be good but not everything is useful.

Kiongozi ni mtu anayetazamwa kwa mengi, a person to look up to, hivyo kuwa represantable ni muhimu. Na kwa yeye anatakiwa kuwa na presidential hair cut.

Tunawezabishana juu ya presidential hair cut ikoje, lakini siyo pank!

Wasalaam
mtoa mada nasikitika kukwambia kwamba "una matatizo ya Afya ya akili" jitathimini upya
 
Kuna kipndi fulani nilimuona putin akiwa kifua wazi.....
Mimi kwngu Rais puttin is my best friend baada ya mwamba wa Chato kututoka..mbali na hao wawili huwa pia namkubali sana mwamba yule wa korea kazkazni..to me the hair style don't matter that much hata kama angekua na rasi ilimradi tu ana akili kama ya lissu huyo yuko sawa...kwani yule mgombea urais wa kenya(George Wajakoya)angeshinda kura si kenya kwa sasa hivi si wangekua na raisi ambae ni rastafarian na yule mwmba alikua yuko vzuri sana up-stair
 
Back
Top Bottom