Lissu kama unataka urais, badilisha unyoaji wa nywele sasa

Lissu hata kupewa nafasi apeperushe tena bendela hapewi
 
Hivi wamachame mnamatatizo gani kichwani,sasa matusi yote ya nini wakati umeulizwa swali moja tu,na kama unasema hakuna anayejua kesho yake mbona ww unamshambulia aliyekaburini wakati wewe upo juu unatembea,wa ushaijua kesho yako?
 
mtoa mada nasikitika kukwambia kwamba "una matatizo ya Afya ya akili" jitathimini upya
 
Kuna kipndi fulani nilimuona putin akiwa kifua wazi.....
Mimi kwngu Rais puttin is my best friend baada ya mwamba wa Chato kututoka..mbali na hao wawili huwa pia namkubali sana mwamba yule wa korea kazkazni..to me the hair style don't matter that much hata kama angekua na rasi ilimradi tu ana akili kama ya lissu huyo yuko sawa...kwani yule mgombea urais wa kenya(George Wajakoya)angeshinda kura si kenya kwa sasa hivi si wangekua na raisi ambae ni rastafarian na yule mwmba alikua yuko vzuri sana up-stair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…