Lissu kama unawaita wenzako MAPOLISI badala ya Polisi usitegemee wakuheshimu

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Mheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi- hii siyo staha hata kidogo. Kwa kuwakosea staha anategemea nini kutoka kwao?

Unahamisha mjadala Kwa hoja za kijinga sana ,sisiemu wanawezaje kukukipa mshahara Kwa akili km hizo
 
Ongeza Machawa wa Mafisiemu
326819887_587326363238541_8456356269363190865_n.jpg
 
Mheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi- hii siyo staha hata kidogo. Kwa kuwakosea staha anategemea nini kutoka kwao?

wao wana staha??
 
Back
Top Bottom