CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Huna hoja aibu yako hiiMheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi- hii siyo staha hata kidogo. Kwa kuwakosea staha anategemea nini kutoka kwao?
![]()
Lissu ataka pangua zaidi jeshi la polisi
Kwa muda mrefu wananchi wamekuwa wakitaka jeshi la polisi lifumuliwe ili utendaji kazi wake uimarike na wasiofuata maadili wawajibishwe.www.mwananchi.co.tz